Makapuku Forum

Makapuku Forum

Twende sawa mkuu ...

Tukianza na mechi ya mapema kiukweli spurs naona anashinda tena magoli zaidi ya mawil ...Bournemouth nahisi hana presha kiburi cha point 7 kinamsumbua kutoshuka


west brom na liver kiukweli naiona droo tena sio ya mabao mengi k abisaaa

kule kwa Middlesbrough na arsenoo mpe asernal make lazima wachezaji wafanye kitu presha hiko juu tena anaweza kushinda kwa bao kuanzia 3 ...japo lazima aruhusu japo ata moja

crystal palace nawacheki kwa jicho la tatu mkuu hawarembi siku hizi na the fox lazima wakipate ....Leicester kuchapwa mabao kama mawili itakuwa kawaida Leo ....muuue fox mkuu

Sunderland na west Ham sioni kipya zaidi ya moyez Leo kupata point tatu ..ata moja itamtoshaaa...

stock na hully city ...usifanye kosa lazima stok Leo apate kitu muhindi asikudanganye mpe stock tena 2-1

Everton Everton burnly kama kawaida lukaku na wenzake lazima washinde mbili na kuendelea sio have

Watford na Swansea sioni kipya Leo ...droo ata moja mojaa

man city usimsahau mkuuu atapata hushindi ata kama mfinyuuuu ila 2 zitafika

huyu wa mwisho ebu jifanye umemsahau man u vs Chelsea ...apa ngoma itakuwa ngumu make jossee kukubari kupigwa nje ndani so kizembe ...na Chelsea anaitafuta michezo 5 apigiwe makofi ...


Anyway changanya na yako
Uko bomba jooh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom