Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Kichuri hakiwezi kukosekana kwenye siku hiziMkuu umeamkaje za uzima?ubarikiwe je kichuri tunapata pasaka hii?
Karibu sana mama mchungaji mwambie na baba mchungaji asikose
Kichuri hakiwezi kukosekana kwenye siku hiziMkuu umeamkaje za uzima?ubarikiwe je kichuri tunapata pasaka hii?
Mambo valieHapo nimekupata...
hahahhh dada sio ya kucheka najua ila usisahau kumkagua koteSio ya kuchekaaa hayo mdogo wangu
hahahhhh we kagua kwanzaNgastukaa
Ndo basi tena au...
I miss you a lot..ziwezi hata kueleza nilikumiss vipi.Morning love![]()
karibu sana ukipata mda sisi tupoYaaap nimeachiwa toka jana ila niko busy sana nashindwa kuingia!
Sakayo mdogo wake zakayo ShikamoooNgastukaa
Ndo basi tena au...
sawa mndali kila la heri uko malawiMkuu mazao sijauza maana soko sikupata la uhakika nikawa nimepigiwa simu na rafiki yangu kuwa niende Malawi Mara moja
Itabidi uje unisaidie kumkagua maana nitakufwahahahhh dada sio ya kucheka najua ila usisahau kumkagua kote
Niko salamaa kabisa mama..Hatimae Umekuja
Hebu nihakikishie usalama wa afya yako kwanza
Naogopahahahhhh we kagua kwanza
Daah nimemiss utani wa humu aiseekaribu sana ukipata mda sisi tupo
hahahhhh mm sitaki labda umchukue mlinzi wake Nyagei mumkague woteItabidi uje unisaidie kumkagua maana nitakufwa
Boss nawe umetekwaNimeokotwa njia panda ya kwenda ununio..
Niko Sanitas hapa nacheki afya...Jtatu nitakuwa Press ukumbi wa Mwal. Nyerere.
Poa sanaWakuu wazima humu
Shunie nimekumiss sana.
Bwana mkubwa uko freshNiko salamaa kabisa mama..
Wala usiwe na hofu.m
Missed you more my loveI miss you a lot..ziwezi hata kueleza nilikumiss vipi.
I missed everyone in this forum..You are great friends..
Ila msiwe na hofu wakuu..niko salama kabisaaaaa..
Niombe muda kidogo nipumzike kidogo ili nikirudi nirudi kwa nguvu zoote..
!!!