Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ooh hapo sawa mana kuachwa mwenyewe usiku ni mtihaniIla tutawahi hatutachelewa sana mpaka saa tano zitakuwa zimekwisha
Ooh hapo sawa mana kuachwa mwenyewe usiku ni mtihaniIla tutawahi hatutachelewa sana mpaka saa tano zitakuwa zimekwisha
Mkeka unachoraje?ngoja niingie jukwaa la kubet kule nipate mawili matatu ili na mimi leo nikachore mkeka wangu.
Mkumbushe kuwa kubeti ni kipato cha dharuraAhaaaah nikupe maujanja make wengine tumejenga kupitia kumchezea kanjibai
Shukrani kwa kunisahihisha yes ni El madonnina.ni Derby el Madonnina ama kwa kimombo ni Milan derby. Zamani iikuwa ni mechi kubwaa sana hii siku hizi haina mvuto.
Shaka ondoaOoh hapo sawa mana kuachwa mwenyewe usiku ni mtihani
Mkuu mzima?pole ndio jiji lako usikute ata kura uliwapigia sasa hivi mnajuta kimoyo moyo
lete mkuuAhaaaah nikupe maujanja make wengine tumejenga kupitia kumchezea kanjibai
Mkeka unachoraje?
hapo nimetumia tu maneno ya kitaalam, ila kwa kifupi ni kucheza kamari kwa kubetMkeka unachoraje?
Wakija kukupiga mawe kwa hii koment yako sitakusaidia hata kidogo

Niko poa mkuu , VP pande hizoUmeamkeje Mkuu
We Cheka mkuu ila ujue hilo litakuwa gumu kulizima
Huku kwema kabisa mkuuNiko poa mkuu , VP pande hizo
me mzima sana mndali sijui wwMkuu mzima?
morning shem mkeo anakutafuta anaweza kufwa alijua umetekwaGoodmorning family..
Mi niko poa shunie japo huko mjini nimeshindwa kuja maana nimepta safari ya Malawime mzima sana mndali sijui ww
Nimeokotwa njia panda ya kwenda ununio..morning shem mkeo anakutafuta anaweza kufwa alijua umetekwa
Morning bossGoodmorning family..
Malawi tena vipi mazao ulimaliza kuuza, na matunda ya kina Emmy tena mpk safari ijayoMi niko poa shunie japo huko mjini nimeshindwa kuja maana nimepta safari ya Malawi