Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Boss usichanganye tenaMorning Katibu...
Mambo vipi
Mimi ni mweka hazina
Katibu ni lee empire
Boss usichanganye tenaMorning Katibu...
Mambo vipi
Wewe mnataka mkague nini?hahahhhh mm sitaki labda umchukue mlinzi wake Nyagei mumkague wote
Vp kijana..Poa sana
kamkague boss wakoBoss nawe umetekwa
Yale mafunzo uliyonipa ulishindwa kujitetea kweli?
Marahaba mtoto mzuri!!!Sakayo mdogo wake zakayo Shikamooo
halaf usisahau kumkaguaMissed you more my love!!!
We pumzika tuu, mie nakuandalia supu kwanza then baadae upige mtori wa nguvu...

Wazima vipi huko kwenu kishetiWakuu wazima humu
Shunie nimekumiss sana.
Hahahaaa! Waterboarding?Boss nawe umetekwa
Yale mafunzo uliyonipa ulishindwa kujitetea kweli?
Asante mungu akijalia kesho asubuhi nageukasawa mndali kila la heri uko malawi
teh ukaguliwe kote koteWewe mnataka mkague nini?
Mimi niko pouwa kabisaa
Sijambo nimekumisssssMarahaba mtoto mzuri!!!
Hujambo mdogo wangu
Hahahaa!Boss usichanganye tena
Mimi ni mweka hazina
Katibu ni lee empire
AaahPolisi kusema wataua majambazi wanne mpaka watano ili kufidia polisi wenzao hii imekaaje?
ufike salamaAsante mungu akijalia kesho asubuhi nageuka
Sawa babaa, pumzika basi loveNiko salamaa kabisa mama..
Wala usiwe na hofu.m
Amenufike salama
Jamaniiiihahahhhh mm sitaki labda umchukue mlinzi wake Nyagei mumkague wote
Kwahiyo boss hakuna nukuu na leo?I miss you a lot..ziwezi hata kueleza nilikumiss vipi.
I missed everyone in this forum..You are great friends..
Ila msiwe na hofu wakuu..niko salama kabisaaaaa..
Niombe muda kidogo nipumzike kidogo ili nikirudi nirudi kwa nguvu zoote..
Mimi kinyozi afu najinyoa mwenyewe...teh ukaguliwe kote kote