Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Amen nawe pia ubarikiwe

Amen nawe pia ubarikiwe

Nakusubiri nyumbani kuna ujumbeSabato huwa inaanza ijumaa jioni, sasa yeye toka juzi kweeli!!!
Kaka
Mkuu umeamkaje za uzima?ubarikiwe je kichuri tunapata pasaka hii?
Hahahahahahhhh mwenye sura ya baba jana nilikua naangalia filamu ya Yesu nikamuona zakayo mtoza ushuru aliyepanda juu ya mti ili amuone Yesu
nikakumbuka ww nikawa nacheka tu mwenyewe
Usijali nilitaka tuendelee tu kupiga stori,nimekukatisha tamaa kipi tena
mm nakwambia ukweli hilo wazo wapo watakao kubali na wapo watakao kataa
story zipi tena jamaanUsijali nilitaka tuendelee tu kupiga stori,
Umemaliza likizo?Jamani familia yangu nimewamic sana mko salama lakini
Sawa kakaNakusubiri nyumbani kuna ujumbe
hahahhah halaf mbona zakayo yule wa kwenye movie mbona mrefu jamaan tofauti na wanaemsema kwenye bibleHahaha
Nafanana na babangu saana, ila mie Sakayo mrefu bhana sio kama yule mtoza ushuru
Atofautishe sakayo na zakayoHahaha
Nafanana na babangu saana, ila mie Sakayo mrefu bhana sio kama yule mtoza ushuru
Inashangaza sana
hahahhah ungekufwaaaWaaaoow
![]()
![]()
![]()
Ahaaaaaaah"If you want to test a Sukumaman's character give him power"
Abraham Lincoln
...
teh![]()
![]()
unafaa sana kuwa hakimu ww
Aah Kagame nae
kaka watu wanamwambiaga sakayo ana jina la kiume kama la zakayo ndio nilipokumbuka hapoAtofautishe sakayo na zakayo