Makapuku Forum

Makapuku Forum

hahahhhah ila kaka yetu huyo hana shida kabisa Mungu azidi kumuweka
ana maneno ya kutia moyo sana sana
Kwa kweli ni kaka mwema, sijapata ona majukwaa yooote!!! Mungu ampe haja ya moyo wake....

Ila anisamehe kuna siku nilimchimba biti nikamwambia mie ni dume!!!
 
me zaidi mama mchuchu vipi unaendeleaje
mara ya mwisho nakumbuka ulisema una changamoto unapitia tukuombee hope yanaenda vizuri
Mungu yu mwema kwetu wagonjwa wote wanarndelea vizuri na wameruhusiwa tupo nyumbani.nawashukuru kwa kuniombea mbarikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom