BATULUNGE
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 392
- 635
Hahahaaa unaogopa kutekwa?asante sana ila sihitaji kutolewa out mkuu
Hahahaaa unaogopa kutekwa?asante sana ila sihitaji kutolewa out mkuu
Tumuombee kwa kweli mdogo wangu...hahhahahhha bas tumuombee tu
sasa ugumu wake nn
umeamkaje kaka anguMara 7
siogopi kutekwa ila sihitaji tuHahahaaa unaogopa kutekwa?
Mungu atatengeneza njia pasipo njia,mwamini yeye uombe amani na uzima ubarikiwe sanaMkuu pasaka niko miji ya watu huku sielewi hata chakufanya japo mungu akijalia naweza nikamaliza kazi yangu Leo jion

Umeanza lini Kukataa ShkamoMara 7
Daaahsiogopi kutekwa ila sihitaji tu
Inasemekana waliuawa Kwakua Princes alikua na ujauzito wake hawakutaka kabisa kizazi cha Malkia kipate mtoto wa kiarabu maana angekua mdogo wa wajukuu wa Malkia kwa kushare mama ...R.I.P DODI EL FAYED na PRINCES DIANA
kikubwa ni maombi huko aliko awe salama tu hawezi tekwaTumuombee kwa kweli mdogo wangu...
We huoni ugumu, Bashite anavyoteka watuu
halaf hii mara ya pili anavyoitikia anajua mwenyeweUmeanza lini Kukataa Shkamo
na kwako pia
Asante mkuu...nalo hilo lilikuwapo na ukweli walikua speeed kubwa..wapumzike kwa amaniYanesemwa mengi lkn chanzo kikuu cha ajali kinachojulikana ni mapaparazi waliokuwa wanalifukuza gari lao ili wawapige picha za udaku...hivyo walikuwa wanawakimbia mapaparazi matokeo yake gari likapoteza mwelekeo
....

Mungu amtunze kwa kwelikikubwa ni maombi huko aliko awe salama tu hawezi tekwa
nikutakie pasaka njema mkuuDaaah
Hahahahalaf hii mara ya pili anavyoitikia anajua mwenyewe
Numbisa Karibu
AmeenMungu amtunze kwa kweli

Mmmh Mungu atusaidie kwakweli,tuwe na upendo wa kweli

hahahhhah ila kaka yetu huyo hana shida kabisa Mungu azidi kumuwekaHahaha
Ngastukaa
