Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu nilikuwa sijui kumbe jumamosi ni marufuku kufungua duka wala ofisi kabla ya SAA 4
Nimejikuta napigia mswaki majivu duh
Hii serikali noma ht kununua vitumbua tusubiri ifike SAA 4
.....
Pole sana mkuu ila majivu ni dawa nzuri ya fizi maramojamoja,vitafunwa na mambo ya jumamosi siku hizi unajiandaa ijumaa ndiyo hivyoo
 
1912 - Thomas Andrews anafariki Dunia.

Alikuwa ni mfanyabiashara na mtengenezaji wa meli ya Titanic.
8967370a0e36e40c4effe5ae063a9efa.jpg
ca313326a9b94f57d31f3f5c43dff413.jpg
9fc64cbc5fe539f5ac4b071ebc39c43f.jpg
Kafa siku moja na limeli lake
Kweli nuksi kiwango cha SGR
....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom