Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
VizuriNjema sana
VizuriNjema sana
Mkuu mbona forum inanizengua kila nikiafungua kapuku inanidirect page ya kwanzaWeather ya Dar unaijua baba mchungaji
Daaah hapo nimepata nguvu mpyaa, asanteNatania tu mkuu maana wanasema mvumilivu anakulambivu
Ndio maana tukakushauri tafuta huko mlete humu mjengoni
Kweli mkuuUsikate tamaa kizembe
Kikubwa tunaambiana ukweli
Ibada ilikuwa ni nzuri sana + maigizo it's was so awesome.Salama mkuu za huko za ibada ubarikiwe
Mbona me kajifunika?Weather ya Dar unaijua baba mchungaji
Hapo sawaNipo kwaajili ya kazi ya siku NNE kesho kutwa narudi
Itakuwa mods wanafanya marekebisho yaoMkuu mbona forum inanizengua kila nikiafungua kapuku inanidirect page ya kwanza
😀 😀 😀 😀 😀Ngoja nikalale kwanza kesho naamkia baharini kutega mitego yangu
Vizuri sana utapata PapaNgoja nikalale kwanza kesho naamkia baharini kutega mitego yangu
Sakafu babaMbona me kajifunika?
Na wewe iko hivo ??Itakuwa mods wanafanya marekebisho yao
Mahindi yapo mkuu ila juzi nilivyo kuwa na zungumza na jaamangu mmoja kaniambia kuna wafanya biashara wanaenda shambani kununua kabla hajavunwaHapo sawa
Eti huko Mby mahindi yapo
Haya nipe ramaniNjoo unywe mtori, alaaa
Hujui kwa kakako!!!Haya nipe ramani
Hamna mkuu huku kuna gari nimetumwa nizichekiAngalia usije ukaambiwa shushushu ukawekwa kati
Sent from my Lenovo A806 using JamiiForums mobile app
Sawa kazi kwakoDaaah hapo nimepata nguvu mpyaa, asante