Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
Mi nahitaji Suzuki carry kwaajili ya shughuli zangu, vp nitapata?,Hamna mkuu huku kuna gari nimetumwa nizicheki
Tatizo ulikohamia juzi sijapajua badoHujui kwa kakako!!!
Mkuu mi huku kunituma rafiki yangu biashara ya magari huwa siifanyi na sijajua sana hii biashara labda ukihitaji nitakuunganisha na jamangu mwingine yeye huwa anauzoefu na hizo biasharaMi nahitaji Suzuki carry kwaajili ya shughuli zangu, vp nitapata?,
Acha urongo ntahamaje kwangu?Tatizo ulikohamia juzi sijapajua bado
Mkuu mi huku kunituma rafiki yangu biashara ya magari huwa siifanyi na sijajua sana hii biashara labda ukihitaji nitakuunganisha na jamangu mwingine yeye huwa anauzoefu na hizo biashara

Kulikoni?Jamaaniiii![]()
![]()
![]()
VP mkuuDuuuh
Haaa sasa mbona hunipi hiyo ramani jamaniAcha urongo ntahamaje kwangu?
Usijali mkuuVP mkuu
Aaah nilitaka tu kuona walau unione kama na mm nimo humu, sasa ngoja nikalale usingizi mzito mambo ya baharini kesho,Kulikoni?
Daaaahtumuulize dadake
Pamoja mkuuUsijali mkuu
Asante mkuuPamoja mkuu
Hapana kwangu inapeleka page mwisho (latest)Na wewe iko hivo ??
So ni kwamba maghala hayana kitu?Mahindi yapo mkuu ila juzi nilivyo kuwa na zungumza na jaamangu mmoja kaniambia kuna wafanya biashara wanaenda shambani kununua kabla hajavunwa
Nyagei please, namtaka mume wanguUnakwenda kulala