BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ubarikiwe,karibu sanaIbada ilikuwa ni nzuri sana + maigizo it's was so awesome.
Ahsante nawe pia mama mchungaji
Ubarikiwe,karibu sanaIbada ilikuwa ni nzuri sana + maigizo it's was so awesome.
Ahsante nawe pia mama mchungaji
Sijapata nafasi ya kutembelea maeneo ya maghala ila nahisi yanaweza yasiwe na kitu maana mahindi yalipelekwa sana mombasaSo ni kwamba maghala hayana kitu?
AmenUbarikiwe,karibu sana
Tulia shem wala hajatekwa bado yupo njianiNyagei please, namtaka mume wangu
Amemficha wapi Huyo nyagei anataka ukose zamani huyuNyagei please, namtaka mume wangu
DaaaahTulia shem wala hajatekwa bado yupo njiani
Sielewi YaaniAmemficha wapi Huyo nyagei anataka ukose zamani huyu
Nitazungumza nae akuletee tu maana hii ni zaidi ya kesiSielewi Yaani
He's my bossAmemficha wapi Huyo nyagei anataka ukose zamani huyu
Hakuna kesiNitazungumza nae akuletee tu maana hii ni zaidi ya kesi
Haloo jitahidi shemu Leo hataki kukosa pumziko la moyo wakeTulia shem wala hajatekwa bado yupo njiani
Hebu ongea nae shemNitazungumza nae akuletee tu maana hii ni zaidi ya kesi
And where is your boss???!!He's my boss
Atapata tuHaloo jitahidi shemu Leo hataki kukosa pumziko la moyo wake
Sawa ila hakikisha unamleta maana inaonekana ulipewa kazi ya kumlinda na kama ukishindwa kumleta mi nitamsaidia Shem kuandamanaHakuna kesi
Tulia uandike vizuriHaloo jitahidi shemu Leo hataki kukosa pumziko la moyo wake
He's on a way to homeAnd where is your boss???!!
AsanteSawa ila hakikisha unamleta maana inaonekana ulipewa kazi ya kumlinda na kama ukishindwa kumleta mi nitamsaidia Shem kuandamana
Tayari amesema anamfuta alipoHebu ongea nae shem