Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Ukhuty nakuomba uje chumbani tafadhari nikupe habar NAKUPENDA eeh.Mis you![]()
![]()
![]()
Ukhuty nakuomba uje chumbani tafadhari nikupe habar NAKUPENDA eeh.Mis you![]()
![]()
![]()
Hapana sina hakika kishetiUna uhakika?
Asante mkuu pole na kifungoAiseee
Pimbi
Mzee mkavu
T
Sakayo
Shunie
Jux wivu
Mama na baba muchungaji
Dictator
Obe
Bitoz
Mndali
Snipes
Ukhuty ma love..
Paprika
Nimewamiss sana wakuu
maisha ya ndoa yanataka subira sana...... Unaweza kununua parachichi lako jioni ule na wali unakuta mtu kaliponda kapaka usoni
maisha ya ndoa yanataka subira sana...... Unaweza kununua parachichi lako jioni ule na wali unakuta mtu kaliponda kapaka usoni
AhsanteAsante mkuu pole na kifungo
Mkuu huu ujumbe mrwaaa!
Nikitoka Malawi nabadili nitakuwa natumia mkatengereAhsante
Badili Id pl
Nakuja sweetheartUkhuty nakuomba uje chumbani tafadhari nikupe habar NAKUPENDA eeh.
Ndio tufanye chaguzi kwa kumshirikisha Mungu ili atupatie wenzetu sahihi.Mkuu huu ujumbe mrwaaa!
Mkuu kwa nini unapenda nibadili IDAhsante
Badili Id pl
Kweli mkuu maana ndoa ina maajabu mengi sana maana unapewa cheti ndo unaenda kufanya mtihaniNdio tufanye chaguzi kwa kumshirikisha Mungu ili atupatie wenzetu sahihi.
Ndio tufanye chaguzi kwa kumshirikisha Mungu ili atupatie wenzetu sahihi.Mkuu huu ujumbe mrwaaa!
Shem punguza wivu kidogoHunipend kwa nn mim sikuwa wa kwanza kwenye hii orodha![]()
![]()
Nakusubir chumbani pmNakuja sweetheart
Yaan mie shem nina wivu mnooShem punguza wivu kidogo
Ni gumu kulitajaMkuu kwa nini unapenda nibadili ID