Makapuku Forum

Ana mafunzo ya kijeshi
 
Tatizo lipo mkuu japo sijalifuatilia hili jambo kwa kina ila kuna mambo nyuma ya pazia, haiwezekani wauaji watangaze vita na viongozi wa serikali pasi na chanzo.
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria,mimi binafsi nimehudhuria msiba wa kati ya waliouwawa kuna jamaa yangu amepoteza mume wake binti mdogo tu,na amemuacha na watoto wadogo kabisa wakwanza hana hata miaka sita ,inasemekana waliimuua waliacha watu woteee na kumpiga risasi askari tu..tunalia.
.tunaomboleza
..tumebaki na mjane mtoto..kimya hakuna kinacholeta matumaini..kwakweli Mungu aingilie kati ...na hatua zichukuliwe mapema maana wameanza askari watahamia kwa raia tutakwisha , .... mtu aliyezoea kula nyama ya mtu kamwe hawezi kuacha.
 
 
Pole sana kwa mjane
 
Tatizo lilianza pale polisi walipoanza kutumika vibaya na serikali kuumiza wananchi sasa wanaanza kulipa ,,,ndio wananchi hawalaani chochote
 
Asante mama mtumishi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…