Polee mama mchungajiZimepungua..nilikua nawagonjwa serious wawili Muhimbili na hospital nyingine namshukuru Mungu mmoja ameruhusiwa jana Wa Muhimbili saa hizi ndio tunakamilisha kutoka,asanteni sana kwa maombi Mungu awabariki
Habari yako ShemejiWakuu tuwe na usiku mwema
Namshukuru Mungu naendelea vizuri mpendwaHabari yako Shemeji
Usiku mwema my brother in law
AminaNamshukuru Mungu naendelea vizuri mpendwa
Na wewe pia Mungu akuongoze
Aksante mkuuWakuu tuwe na usiku mwema
Sakaya we ni Mke wa nani!?;?Amina
NzuriHabari za usiku ?
Im very sorryAmina
Mke wa TranscendSakaya we ni Mke wa nani!?;?
Habari yako mboga mbogaAksante mkuu
Sorry for what brodaIm very sorry
Habari yako mboga mboga
Ni nzr Mke wa mtu... Habari ya kutwa
Aahhh vizr sana... Nilikuwa sijui kabsa sasa nmejua heshima zote nitakupaMke wa Transcend
Kwani Vipi
Marakhaba ujambo?Nzuri
Shkamo
SijamboMarakhaba ujambo?
Transcend ako mzima?Sijambo
Yuko salama kiasiTranscend ako mzima?