BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Njema mkuuHabari za jioni wadau?
Njema mkuuHabari za jioni wadau?
Hajambo mama Mchungaji?Njema mkuu
LoveNimekumiss mke wangu..
Pale kwenye original postUmehariri wapi boss?
Pole mama mchungaji..Zimepungua..nilikua nawagonjwa serious wawili Muhimbili na hospital nyingine namshukuru Mungu mmoja ameruhusiwa jana Wa Muhimbili saa hizi ndio tunakamilisha kutoka,asanteni sana kwa maombi Mungu awabariki
BabyLove
NakumissBaby
Naumwa ujuee...Nakumiss
WeeeNaumwa ujuee...
Kagonjwa kaajabu kweli haka...Weee
Nini mbaya tena jamani mume wangu
JamaniiiiKagonjwa kaajabu kweli haka...
Nilikumiss ndo nikaanza kuumwa ! Miguu , kichwa na viungo vilikuwa vimelegea...
But i am feeling the sense of being well now..
Polee kwa mihangaiko ya leo kwanza..Jamaniiii
Nipo sweetheart, pole kwa kunimiss!!!
Niambie love
Kukuona tu Nshapoa love!!Polee kwa mihangaiko ya leo kwanza..
Asante mke wa ndoto zangu...Kukuona tu Nshapoa love!!
Kwanzaa Naomba unisamehe mnoo kwa kukufanya uugue...
Pili pole na majukumu na pole kwa ka ugonjwa
Usijali mume wangu, niko kwa ajili yako TAsante mke wa ndoto zangu...
Am now doing okey! Sasa hivi najisikia pouwa kabisa...naona hali imekuwa mubasharaaa...
Nilikumiss sana lovie.
Mmmmh, haya bwanaAsee... This week ends on Thursday and the next starts on tuesday mbona raha!!... Yuda Iscariot popote ulipo kunywa bia mbili.. Bili yangu
![]()
Weekend ndefuu..Mmmmh, haya bwana
Mimi nitafutieni Petro popote alipo mwambieni asithubutu kumsaliti Yesu
DaaaahWeekend ndefuu..
Ila inabidi tuwe wapole tuu