Makapuku Forum

Nyinyi T na Leee nimekuja JF kuchat sijaja kubeba waume za watu kwenye miugomvi yenu huko msinishirikishe kama hamjui utani hana haja ya Ku quote kitu alicho post MTU km unahisi kimekukeraa llooooo wanaume ninao mpk wengine nimewasahauuu poleni mnaobabaika fyuuuuuuu
 
Mdogo wangu mbona sisi na lee tunataniana [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe umechukulia serious...?

Huu ndo utani wetu wala haujaanza leo...
 
Juve ana tabia ya kubadilika japo kwa mechi Tatu zilizopita hajacheza ipasavyo hasa game dhidi ya Napoli akipoteza kwa 3-2 ile performance haikuwa nzuri pia game ya juzi vivyo hivyo, yote kwa yote game ni nzuri sana MSN wanataka kurudisha ubutu walioupata dhidi ya Malaga
 
Khaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jovitha
 
Mdogo wangu mbona sisi na lee tunataniana [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe umechukulia serious...?

Huu ndo utani wetu wala haujaanza leo...
Aka mwenzangu mi siuwezi T & Lee kwaheriniii akuu kunguru muoga hukwepesha mbawa zake[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Aka mwenzangu mi siuwezi T & Lee kwaheriniii akuu kunguru muoga hukwepesha mbawa zake[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yaani wewe inabidi tukusajili huku...

Nakuja mmu kukuchukua...[emoji23][emoji23][emoji23]

Huu utani tuu mkuu..! Ila utani kwa ki-utu uzima..

Uje huku pazuri sana...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…