Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Naona sababu ya lile bango lao la Thank you wenger ndio linawatafunaPamojaaa mwekahazina
Arsenal kama kawaida yake
Naona sababu ya lile bango lao la Thank you wenger ndio linawatafunaPamojaaa mwekahazina
Arsenal kama kawaida yake
Ahaaaaaah una utani na shululuNaona sababu ya lile bango lao la Thank you wenger ndio linawatafuna
Hahaha we really can't
Amen asanteHabarini za asubuhi Makapuku?
Neema ya bwana ikatuangazie siku ya leo
Amen asante kwa magazeti na facts Mungu akubarikiWakuu tuzidi kubarikiwa
Leo ndio siku ya kumuua muhindiAhaaaaaah una utani na shululu
Anyway C.palace hawana mchezo hawataki kupoteza mapato ya mlangoni msimu ujao ila mkuu nilikwambia jana mhindi ulimuua ndivo sivyo
Ila msimu wa kulaumiana
Alitoa jibu mubasharaHahaha we really can't
Amen asante

Pamoja sana.
Huyu alijikita zaidi kwenye Jazz na kuimba, alikuwa ni gwiji mwingine wa kukung'uta gitaa, sema lake alikuwa anapiga taratibu maana alichanganya Jazz na R&B.
Aliwahi kutwaa tuzo kibao za Grammy, moja ya wimbo wake ni huu
maalum kwako BlessedHope
Duuuh!
Hahaha we really can't
Reference ya utetezi wa Halima Mdee
Mkuu Leo inanipa shida kudadavua nani anachukua advantage kwa mwenzake ule umakini wa kibibi kizee cha kule changanya umakini wa forward pale barca najua ushaona kuwa apa tunamwachia mzee wa historia yake aongeze timu yake vizuri uku nikijiuliza je messi atanyoa ndevu Leo au ataingia na ndevu zake make ndo kitu kilichobaki kizuri kwake haswa japo ubora wake huwezi kuupingaLeo ndio siku ya kumuua muhindi
Jana nilikwepa
![]()
Juve kuanzia kwake ni advantage ila ni more advantageous kwa Barca kuanzia ugenini japo uwepo wa Mr captain mwenye timu yake pande zote loooooh kazi ipo kweli .....zile pundamilia like na jeep kifuani zitavaliwa kwa wingi Leo ila kama unayo na wewe usiende nayo kwa kanjibai utakosesha wengi amani....
Epa najiuliza maswali mengi mwekahazina na kapuku msinishangae je Massimiliamo Allegri anamtegemea Paulo Dybala kutimiza ndoto zake pale Tulin au uimara wa mlinda lango lao ,ila akitegemea ubovu wa mara moja moja wa MSN naona kutamponza make miaka 20 sio mchezoAmen asanteTuko pamojaa naweee mama mchungaji
HahahaUache kumuogopa boss
Niko salama shemNatumai umeamka salama shem