Makapuku Forum

Makapuku Forum

Makapuku wenzangu, naimani siku imeisha vizuri na tunajiandaa kupumzika, sisi night shifters ndo kumekucha maana tumelala mchana.

Wote tunajua utamu wa gitaa, na bila kujali unapenda muziki wa dansi au dini basi sauti ya nyuzi za gitaa hata kama hupendi zitakusisimua.

Tanzania tuna wapiga gitaa wazuri sana na wengine ni wa wakati wote, mkumbuke Kassim Mponda, Hamza Kalala na bantu Group, Maneno Uvuruge na Super 'reinboli', Rashid Kizunga, Adolph Mbinga na Mchinga, Dr Remmy Ongala (RIP Ramadhan Mtoro) kuwataja wachache.
Huko USA wapo wengi pia lakini Buddy Guy alionesha umahiri mkubwa sana katika kulicharaza gitaa, na Buddy Guy, aliweza kuwa mfano mzuri kwa kina Eric Clapton, Johnny Winter, na Hubert Sumlin.

hapa angalia mubashara ucharazaji wa magitaa toka kwa wakongwe kama nilivyoitoa YouTube


Next uje umlete George Benson
 
15203dbedfa406264b92850555dc9a2b.jpg
Kwa matokeo haya Clkey haonekani humu hata kwa dawa
 
teh teh! na wapuliza filimbi pia usiwasahau mkuu

Oh, nitawasahau vipi tena hawa tena, najua huijui band maarufu ya TatuNane na mpuliza filimbi wao maarufu Omari Naliene, huyu alimzimisha Mswede kwa kupuliza filimbi 'melodically' kwa kutumia pua zake. FYI, Naliene alifariki dunia

Hawa hapa chini wanaitwa Lumumba Theater (hawana uhusiano wowote na wale vijana wapigasiasa wa Lumumba)
Sikiza hiyo filimbi, kesho ukiomba Zeze utasubiri sana.

Hizi video ni za YouTube

 
Matokeo ya mechi za tarehe 10/4/2017
VPL
fa13572dd05beaa47481f215b53ceaea.jpg

Msimamo ulivyo sasa
cfe7f66254d1769511272db081fa9be8.jpg

EPL
b14fc37e9b71e59634627436f98d0bf0.jpg

Poleni Arsenal naona mmeupenda sasa mtaa wa sita


Ahaaaaaah mkuu tuliyazungumza mapema kuwa hii top four pasua kichwa umejionea mwenyewe ila credit kwa palace kuendelea kuvuna point kwa vigogo inaweza matumaini ya kuendelea mwakani kùuza tiketi kwa mashabiki wake....

Big Sam..... Haya bhn. Kifupi tu ni
kwamba arsenal inahitaji mambo
mapya, watu wapya na mbinu mpya
basi katika Msimu huu wa lawama.

FT: Crystal Palace 3-0 Arsenal.

LaLiga
24d6e0b96b2ce64d815f1f4cd5133b40.jpg
Asante mkuuu

Kwa ufupi tu

Vpl;

Mbao fc wamejichinja wenyewe na nidhamu yao mbovu kabisa.... Unapo cheza na klabu kubwa nidhamu ya kuuanza mchezo na nidhamu ya kuumaliza mchezo ni shurti iwe katika vichwa vya wachezaji maana klabu kubwa inambinu nyingi za kuumaliza mchezo sana .... Shikamoo Simba japo apo kinachofuata ni kuombeana mabaya jirani kwa jirani




Matokeo ya mechi za tarehe 10/4/2017
VPL
fa13572dd05beaa47481f215b53ceaea.jpg

Msimamo ulivyo sasa
cfe7f66254d1769511272db081fa9be8.jpg

EPL
b14fc37e9b71e59634627436f98d0bf0.jpg

Poleni Arsenal naona mmeupenda sasa mtaa wa sita

LaLiga
24d6e0b96b2ce64d815f1f4cd5133b40.jpg
Asante mkuuu

Kwa ufupi tu

Vpl;

Mbao fc wamejichinja wenyewe na nidhamu yao mbovu kabisa.... Unapo cheza na klabu kubwa nidhamu ya kuuanza mchezo na nidhamu ya kuumaliza mchezo ni shurti iwe katika vichwa vya wachezaji maana klabu kubwa inambinu nyingi za kuumaliza mchezo sana .... Shikamoo Simba japo apo kinachofuata ni kuombeana mabaya jirani kwa jirani
 
Asante mjomba, umeona Nyagei kataka kumjua Benson mimi nikamfahamisha na kudedicate jisongi kwa BH, ukisikia mabao ya faulo ndo haya sasa😀, weka ugoko naweka chuma
Ahaaaaah bhinamu mukongo alituzidi kete ila sio mbaya ...lindo linaendelea vizuri na mm mtaa wa pili huu yumewakamata vidogo vinatusaidia kusogeza mda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom