Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nikishakuona furaha yangu huwa mara dufuNimefurahi sana..
Vile uko na furaha leo..
Nikishakuona furaha yangu huwa mara dufuNimefurahi sana..
Vile uko na furaha leo..
BabyUnataka body guard eeh?
Nakupa baba paroko...! Nyagei
Usiseme baby, achana nae huyo!!!HahahaaA!
Sitaki niseme tuu! Only God knows
Nakuelewaga sana mume wa Sakayo!!!Mama wa vana vangu..
Wa milele..
Mupenzi ya baba...
Nakutakia usiku mwema mama...
Ulale unono..
Pole yakoNaona unamgeza dr.lee utafeli kaka yule ni dr. Sijui aliangalia vigezo vip akaniamin my self
In professional aliona nafaa kuwa body guard wa shunie ila leo naisi nikama nimemuuzi sana wacha apumzike kesho nimpe ripoti yote...
Huyu nae apenda kulia ka niniNaliamsha dude sasa..(in gwajima's voice)