Pamoja sana.
Huyu alijikita zaidi kwenye Jazz na kuimba, alikuwa ni gwiji mwingine wa kukung'uta gitaa, sema lake alikuwa anapiga taratibu maana alichanganya Jazz na R&B.
Aliwahi kutwaa tuzo kibao za Grammy, moja ya wimbo wake ni huu
maalum kwako BlessedHope
Picha ganiBaby
Aweke picha kwanza bhana!!
Pamoja sana Dr leeAsante mkuuu
Kwa ufupi tu
Vpl;
Mbao fc wamejichinja wenyewe na nidhamu yao mbovu kabisa.... Unapo cheza na klabu kubwa nidhamu ya kuuanza mchezo na nidhamu ya kuumaliza mchezo ni shurti iwe katika vichwa vya wachezaji maana klabu kubwa inambinu nyingi za kuumaliza mchezo sana .... Shikamoo Simba japo apo kinachofuata ni kuombeana mabaya jirani kwa jirani
Asante mkuuu
Kwa ufupi tu
Vpl;
Mbao fc wamejichinja wenyewe na nidhamu yao mbovu kabisa.... Unapo cheza na klabu kubwa nidhamu ya kuuanza mchezo na nidhamu ya kuumaliza mchezo ni shurti iwe katika vichwa vya wachezaji maana klabu kubwa inambinu nyingi za kuumaliza mchezo sana .... Shikamoo Simba japo apo kinachofuata ni kuombeana mabaya jirani kwa jirani
Uache kumuogopa bossNakuelewaga sana mume wa Sakayo!!!
Ni venye unajua kuliweka tabasamu usoni mwangu!!!
We ndo mwanaume ambae natamani niwe nae milele!!!
Najua Mungu amekuleta kwangu makusudi, ili niwe mwanamke wa kwanza kuwa na tabasamu la milele!!!!
Umefanikiwa kuuteka moyo wangu, naomba baki nao mpenzi!!!!! Baki nao ufanye venye unapenda, sioni sehemu salama yakuupeleka mpenzi!!!!!
Majina mazuri yooote nimekwisha yaita sioni la kukuita linaloweza kuuridhisha moyo wako, ila nikisema NAKUPENDA najua venye moyo wako unafeel!!! Then NAKUPENDA, NAKUPENDA, NAKUPENDA, NAKUPENDA!!!
Naomba ulale mume wangu!!! Mungu wangu na akufunike kwa damu yake usiku waleo!!!
Natumai umeamka salama shemWana kapuku naona nimebaki mwenyewe humu ndani!!!
Mlale salama wooote, tuonane tena Mungu akijaalia!!!
Niko mzigoni bado!!!
Kwema inspectorWakuu kwema ??
Boss asante kwa magazeti & unbelievable factsKwema inspector
Technology iko juu sana
Hongera kwake
Sheria kali na hawana mchezo mchezo
Ahsante Katibu lee kwa magazeti na unbelievable factWakuu tuzidi kubarikiwa
Kwema habari ya usingizi?Wakuu kwema ??
Sawa sawa inspectorBoss asante kwa magazeti & unbelievable facts
Pamojaaa mwekahazinaAhsante Katibu lee kwa magazeti na unbelievable fact
Ubarikiwe
Tukutane kwenye michezo