Makapuku Forum

Hahaha mkuu nimecheka sana, huu nao ni ubunifu.
Hii ni zaidi ya Tamthilia, cjui tuiandike vile!
Mandelaa kiwelu uko juu
 
Nimekuja sweetheart,ila ninasikitika pia kwa kuwa naona umepanga outing na amaizing wakati mimi hujawahi kunitoa japo hapo grocery kwa mangi kupata japo chupa moja ya maji ya uhai.
Shemeji jambilo ni ndugu yangu na huwa sina mashaka nae akiwa na wife amaizing popote naamin watakuwa salama tu..Ila shida imekuja kama kumbe wewe hajawai kukutoa out? Hii haifai Mtumish leo ni leo sijui nitakusaidia kwa lipi sasa maana kila mahali ni tuhuma tu..
 
Cc: jambilo
 
Cc: manuu
 
Acha tu shemeji,naamini hiki ni kipindi cha mapito kwa baba mtumishi. Wacha tupige maombi tuone ni wapi tumekosea,maana karama ya mtumishi inafuja kwa kasi.
 
Unajua ninajiandaa kumpeleka Ngurdoto lodge arusha, ninajaribu kumfundisha nana ya ku bihavu awapo hotelini, unajua shem wako sio mzoefu wa mambo haya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…