Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Nimeona baba mtumishi anakuita mtoke wote,au ni safari ya kimaombi?wifi vipi tena , outing niliioiona leo ni ya mume wangu.... huko kwenu mie simooo
tasavali sana
Nimeona baba mtumishi anakuita mtoke wote,au ni safari ya kimaombi?wifi vipi tena , outing niliioiona leo ni ya mume wangu.... huko kwenu mie simooo
tasavali sana
Hahaha mkuu nimecheka sana, huu nao ni ubunifu.[colo=red]Taharuki [/color]: Jambilo atishia ndoa za watu, wamo wake wa vigogo wa KAPUKUZ FORUM [KF], atumia Neno la Mungu kama ndoano!!
Yule Mch. aliyejizolea sifa na heshima tele hapa KF imefahamika rasmi kuwa ndiye kidudu mtu anayevuruga mahusiano ya watu kwa kigezo cha kuwaome.
Mmoja wa wanafamilia wa KP (jina kapuni) amedhibitisha kuwa toka mwishoni mwa wiki ndoa yake iliyokuwa changa inaelekea kuvunjika sababu ikiwa ni Mch. jambilo, "ni Kweli nipo kwenye wakati mgumu toka huyu Mch. aniombee naona kuna dalili zakuachwa, wife anaondoka bila kuaga, nikim txt wala hajibu kitu kwa kweli sielewi kabisa"
Naye mmoja wa member mkongwe wa KF ametoa ya moyoni kwa kusema "jambilo anatupia watu roho ya kukataliwa, toka ameingia hali si shwari tena, kinachouma zaidi anatumia neno la Mungu kumhadaa mpenzi wangu, alimaliza kwa kusema ila ipo siku yake.
Baada ya shutuma hizo, tuliamua kumtafuta kama ni kweli au laa na alisema kwa sasa nipo kwenye maombi nitafute siku nyingine[/b].
Watumbue mkuuMakapuku mpooo!! nimegundua humu kuna ma spy wengi tu, na wengine wakongwe wamo vepe ni watumbue hadharani
Shemeji jambilo ni ndugu yangu na huwa sina mashaka nae akiwa na wife amaizing popote naamin watakuwa salama tu..Ila shida imekuja kama kumbe wewe hajawai kukutoa out? Hii haifai Mtumish leo ni leo sijui nitakusaidia kwa lipi sasa maana kila mahali ni tuhuma tu..Nimekuja sweetheart,ila ninasikitika pia kwa kuwa naona umepanga outing na amaizing wakati mimi hujawahi kunitoa japo hapo grocery kwa mangi kupata japo chupa moja ya maji ya uhai.
Cc: jambilo[colo=red]Taharuki [/color]: Jambilo atishia ndoa za watu, wamo wake wa vigogo wa KAPUKUZ FORUM [KF], atumia Neno la Mungu kama ndoano!!
Yule Mch. aliyejizolea sifa na heshima tele hapa KF imefahamika rasmi kuwa ndiye kidudu mtu anayevuruga mahusiano ya watu kwa kigezo cha kuwaome.
Mmoja wa wanafamilia wa KP (jina kapuni) amedhibitisha kuwa toka mwishoni mwa wiki ndoa yake iliyokuwa changa inaelekea kuvunjika sababu ikiwa ni Mch. jambilo, "ni Kweli nipo kwenye wakati mgumu toka huyu Mch. aniombee naona kuna dalili zakuachwa, wife anaondoka bila kuaga, nikim txt wala hajibu kitu kwa kweli sielewi kabisa"
Naye mmoja wa member mkongwe wa KF ametoa ya moyoni kwa kusema "jambilo anatupia watu roho ya kukataliwa, toka ameingia hali si shwari tena, kinachouma zaidi anatumia neno la Mungu kumhadaa mpenzi wangu, alimaliza kwa kusema ila ipo siku yake.
Baada ya shutuma hizo, tuliamua kumtafuta kama ni kweli au laa na alisema kwa sasa nipo kwenye maombi nitafute siku nyingine[/b].
Cc: manuuTaharuki jambilo atishia ndoa za watu, wamo wake wa vigogo wa KAPUKUZ FORUM [KF], atumia Neno la Mungu kama ndoano!!
Yule Mch. aliyejizolea sifa na heshima tele hapa KF imefahamika rasmi kuwa ndiye kidudu mtu anayevuruga mahusiano ya watu kwa kigezo cha sala.
Mmoja wa wanafamilia wa KP (jina kapuni) amedhibitisha kuwa toka mwishoni mwa wiki ndoa yake iliyokuwa changa inaelekea kuvunjika sababu ikiwa ni Mch. jambilo, "ni Kweli nipo kwenye wakati mgumu toka huyu Mch. aniombee naona kuna dalili zakuachwa, wife anaondoka bila kuaga, nikim txt wala hajibu kitu kwa kweli sielewi kabisa"
Naye mmoja wa member mkongwe wa KF ametoa ya moyoni kwa kusema "jambilo anatupia watu roho ya kukataliwa, toka ameingia hali si shwari tena, kinachouma zaidi anatumia neno la Mungu kumhadaa mpenzi wangu, alimaliza kwa kusema ila ipo siku yake.
Baada ya shutuma hizo, tuliamua kumtafuta kama ni kweli au laa na alisema kwa sasa nipo kwenye maombi nitafute mda mwingine
Acha tu shemeji,naamini hiki ni kipindi cha mapito kwa baba mtumishi. Wacha tupige maombi tuone ni wapi tumekosea,maana karama ya mtumishi inafuja kwa kasi.
Unajua ninajiandaa kumpeleka Ngurdoto lodge arusha, ninajaribu kumfundisha nana ya ku bihavu awapo hotelini, unajua shem wako sio mzoefu wa mambo haya
Hahahahaahah kama ni kubug step hii imetia fora jambilo mtumish hapa unachakusema kweli ili Patience123 shemji yangu akuelewe?Makubwa..!!kumbe ndio maana wadada wakija kwenye maombi unanituma tuma sana ili upate time ya kuchombezana nao??? Sikuweziiii mtumishi.
Actually mpenzi lazima awe na wivu, but hili halina ukweliHahahahaahah kama ni kubug step hii imetia fora jambilo mtumish hapa unachakusema kweli ili Patience123 shemji yangu akuelewe?
hiyo ndo hali hasi ya kinachoendelaa hapa KF ni suala la muda tutaleta ushahidi juu yako ..Hahaha mkuu nimecheka sana, huu nao ni ubunifu.
Hii ni zaidi ya Tamthilia, cjui tuiandike vile!
MANDELAA KIWELU uko juu
Yameisha bhana ndoa zimetengamaa sasahiyo ndo hali hasi ya kinachoendelaa hapa KF ni suala la muda tutaleta ushahidi juu yako ..
Ana hasira kana kwamba nilimkosea kabla.Mkeo kaja wewe, humwoni!
Anakosea sana, lazima akutii weweAna hasira kana kwamba nilimkosea kabla.
Dada mbona mimi kakako hunisemeshi?Msalimie mpenzio
sawa basi mi najishuaha..nsameheAna hasira kana kwamba nilimkosea kabla.