Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mkeo kaja wewe, humwoni!Mapenzi ya ulaghai haya, nimechoka kuwa mpweke.
Mkeo kaja wewe, humwoni!Mapenzi ya ulaghai haya, nimechoka kuwa mpweke.
Ndio Mkuu, umeona kasi aliyokuja nayo ya kuniacha?Una uhakika?
Mkuu mimi sitaweza kukuamini hata siku moja,huo uchawi wako peleka kwengine.Mkuu naona utaniamini, mda mfupi nilimwambia emmyguy kuwa kimwana atakuja na ndo huyo hapo, unapata picha gani mkuu!
Usijali mama!Msalimie mpenzio
Hahaha huo sio ichawi mkuuMkuu mimi sitaweza kukuamini hata siku moja,huo uchawi wako peleka kwengine.
Kijana relax. Punguza hasira wewe mke kaja mzungumze sasaNdio Mkuu, umeona kasi aliyokuja nayo ya kuniacha?
Ngoja nikutag, mwanamke amekoswa staha kwa mumewe ya kunyenyekea na amekuja na ripoti ya kufunga vilago. Inaonyesha dhahiri alikuwa kwa mchepuko.
Mkuu, una maamuzi kwenye hii ndoa iliyo ukingoni.
Unataka kunisingizia ee!!Ndio Mkuu, umeona kasi aliyokuja nayo ya kuniacha?
Ngoja nikutag, mwanamke amekoswa staha kwa mumewe ya kunyenyekea na amekuja na ripoti ya kufunga vilago. Inaonyesha dhahiri alikuwa kwa mchepuko.
Mkuu, una maamuzi kwenye hii ndoa iliyo ukingoni.
We umeona wapi mchungaji ana mapepo!Hahaha huo sio ichawi mkuu
Mie bukher yakhee!Usijali mama!
Mzima lakini?
Inabidi utugaie wote mm na hubbyKwa ulivyo pendeza ntaomba kibali kwa ndugu yangu Th Name nikakupe dinner kwenye hotel nzuuuri tu kama hongera yangu..Kwa shemeji yangu na kwa ndugu yangu kwa matunzo bora..
Ndivyo nilivyomaanisha ndugu yangu wapi lizziebettie, Wap mama la mama toto zuri sana amaizing...Please kuna offer ya dinner usiku wa leo na hii ni candle light dinner so please mjiandae mapema maana mimi na ndugu yangu hatuna maandalizi mengi kama nyie..Hiyo dinner labda tuwe wote wa wanne kaka Kila mtu na wake
Poa hakuna shida mama,karibu nyumbani wife anaprepare breakfast hapa.Mie bukher yakhee!
Hapo nimekuelewa kaka. Mpenzi wangu yuko simple sana wala usijaliNdivyo nilivyomaanisha ndugu yangu wapi lizziebettie, Wap mama la mama toto zuri sana amaizing...Please kuna offer ya dinner usiku wa leo na hii ni candle light dinner so please mjiandae mapema maana mimi na ndugu yangu hatuna maandalizi mengi kama nyie..
Yes bora tuwe hvyo honeyHiyo dinner labda tuwe wote wa wanne kaka Kila mtu na wake
Sahizi breakfastPoa hakuna shida mama,karibu nyumbani wife anaprepare breakfast hapa.

Ni kweli pia amesema hivyo honey.Yes bora tuwe hvyo honey
Si unajua hii mvua tena ukiangalia nje utadhani saa tisa usiku kumbe saa mbili asubuhi,tumechelewa kuamka.Sahizi breakfast![]()