Sio mimi...Hakika my love. Kuna watu wana wivu humu aisee. Tatizo walitaka kuiga
Inabidi ununue Beretta PX4 kabisa maana naona hadi Mtumish tuliokuwa tunamtegemea kulisha watu yale ya rohon anaanza shida..Maana nimekutoa mbali sana mpenzi. Nitakulinda my love
Kweli au?Sio mimi...
Huyu mtumishi nae jipuInabidi ununue Beretta PX4 kabisa maana naona hadi Mtumish tuliokuwa tunamtegemea kulisha watu yale ya rohon anaanza shida..
Ur welcome my loveAsante mpenz wangu
Liwewe kubwa jingazzz, pita kushotoSaa ingine lina point za maana sa ingne kubwa jingazzz
...Mwanaume Kumbe huna uvumilivu wala hunipend wewe..Sawa mi nafunga virago..WasalimieBora tuachane nijue moja.
Mapenzi ya ulaghai haya, nimechoka kuwa mpweke.Hajafa lakini usiogope leo mtaonana
Alikuwa analilia sana huyu kijana.Mwanaume Kumbe huna uvumilivu wala hunipend wewe..Sawa mi nafunga virago..Wasalimie
Yamekuwa haya tenaMwanaume Kumbe huna uvumilivu wala hunipend wewe..Sawa mi nafunga virago..Wasalimie
Mkuu naona umefurahi wife amerudiLiwewe kubwa jingazzz, pita kushoto
......![]()
![]()
![]()
...
Mwanaume Kumbe huna uvumilivu wala hunipend wewe..Sawa mi nafunga virago..Wasalimie
wifi punguza hasiraNahrene hawezi kuniacha wewe.Eti amekuacha
![]()
![]()
![]()
Mkuu naona utaniamini, mda mfupi nilimwambia emmyguy kuwa kimwana atakuja na ndo huyo hapo, unapata picha gani mkuu!Alikuwa analilia sana huyu kijana.