EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
'Staili' ya kuingia, haya karibu.Makapuku mpooo!! nimegundua humu kuna ma spy wengi tu, na wengine wakongwe wamo vepe ni watumbue hadharani
'Staili' ya kuingia, haya karibu.Makapuku mpooo!! nimegundua humu kuna ma spy wengi tu, na wengine wakongwe wamo vepe ni watumbue hadharani
Asante mpenzi kwa kulijua hilo.sawa basi mi najishusha..nsamehe
Pamoja sana braza.Katika igizo hili niiligiza kama mchungaji mwenye utata, lengo ni kutoa ujumbe wa kuwasuta wachungaji wenye tabia za utata japo hujizolea umaarufu wa muda, kwa kuwahadaa washirika na jamii.
Kimsingi siipendi hii tabia inadhalilisha kanisa sana.
Naikataa roho hii mbaya kwa jina la Yesu.
Wakuu nawaaga hadi baadae nawapenda sana.
Cc.
My broo manuu
Youngbood
Th name
Mandelaa kiwelu
Bitoz
Valentina
Nahrene
Ameizing lady
Patience123
Lizzie
Emmyguy
Aggyjay
Jimena aka akili kubwa
Na makapuku jamaa na marafiki
Bye
Na kwako pia utakayekuwa offline.MCHANA MWEMA KWA MLIO ON LINE.
Pole mpenzi, umekunywa dawa lakini?sawa honey...Kichwa kinaniuma
Pamoja sana Mkuu.hahaha bala mkuu
bado hny..NtakunywaPole mpenzi, umekunywa dawa lakini?
nakupenda pia my hubby...Yalopita si ndwele,Tugange yajayo!
Mda gani sasa baby wangu, sitaki kukukoswa.bado hny..Ntakunywa
Pia tukubali kubadilika, ili tusiendelee kuyafanya tena. Tukiachana watu watatucheka sana, hasa youngblood na jambilo wanapenda kuona pendo letu linafika mwisho.nakupenda pia my hubby...Yalopita si ndwele,Tugange yajayo!
sawa bas asa hivi nakunywaMda gani sasa baby wangu, sitaki kukukoswa.
Nilikosea tu man ktk kucomment ilikuwa ktk ishu ya yule jamaa mama ake alikuwa mkuu w mkoaLiwewe kubwa jingazzz, pita kushoto
......![]()
![]()
![]()
...
We ulivyo ingia nani kakufungulia?!? Huku hata faiza anaingiaMakapuku mpooo!! nimegundua humu kuna ma spy wengi tu, na wengine wakongwe wamo vepe ni watumbue hadharani
Haya baby, kinauma sana au kawaida?sawa bas asa hivi nakunywa
Usijali braza, chukulia kawaida sana.Nilikosea tu man ktk kucomment ilikuwa ktk ishu ya yule jamaa mama ake alikuwa mkuu w mkoa
sawa baby..Ntazingatia hiloPia tukubali kubadilika, ili tusiendelee kuyafanya tena. Tukiachana watu watatucheka sana, hasa youngblood na jambilo wanapenda kuona pendo letu linafika mwisho.
Bibi mwenyewe ashaukubali mziki wa MAKAPUKU FORUM.We ulivyo ingia nani kakufungulia?!? Huku hata faiza anaingia
kawaida hny..hili wingu ndo sababu cunajua nimezoea jotoHaya baby, kinauma sana au kawaida?