Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Nguvu za gizaSio mapepo ni nguvu
Nguvu za gizaSio mapepo ni nguvu
Nakupenda sana mpenziNakupenda babe!
Asante honeyNakupenda sana mpenzi
Good idea ndugu yangu ama shemeji yangu lizziebettie na amaizing ninyi mnaonaje hii mimi naona imekaa poa sana...Ok Th Name sababu tulishawatengenezea mood ya mtoko itabidi tuwapelekee walau takeaway ya snacks tu..Ila kwanini tusifanye ijumaa
Mkuu utakuwa na mapepo weweNguvu za giza
Basi tufanye hivyo kakaGood idea ndugu yangu ama shemeji yangu lizziebettie na amaizing ninyi mnaonaje hii mimi naona imekaa poa sana...Ok Th Name sababu tulishawatengenezea mood ya mtoko itabidi tuwapelekee walau takeaway ya snacks tu..
Labda kama ulinirushia siku ile ulivyoniombea.Mkuu utakuwa na mapepo wewe
Si tunasubiri shemGood idea ndugu yangu ama shemeji yangu lizziebettie na amaizing ninyi mnaonaje hii mimi naona imekaa poa sana...Ok Th Name sababu tulishawatengenezea mood ya mtoko itabidi tuwapelekee walau takeaway ya snacks tu..
Jambilo ni hatariNiamini na mii shemeji kama ninavyokuamini pia mimi si kama shemej yako jambilo
Ha Haaaa Haaaa mtumishi ameanguka kiimaniMtumish natambua ukweli kwako ni silaha namba moja na mimi sina shida na hilo...Shida yangu ni naona Mtunish anaanza kupata wivu na kondoo zake... lizziebettie
Mzima kaka anguDadangu mzima wew!
EMMYGUY kuja huku ndugu yangu walahu useme neno aggyjay shemeji yangu aridhike...Naamini ulikuwa ukitania..please njoo uthibitishe hilo hapa.. youngblood ndugu yangu njoo huku ipo shida kidogo hapa..yupo serious hatanii..Muulize!!
Nafurahi kukuona, nakupenda sana dadanguMzima kaka angu
Upo?? U hali gani... Vale...Mzima kaka angu
Amsamehe tuKijana relax. Punguza hasira wewe mke kaja mzungumze sasa
Nilimuasa baba mtumishi asiwafanyie maombi wadada,kwa sababu wadada ndio maradhi yake makubwa,akadai kuwa Jimena anataka kuungama tu basi,cha kushangaza wamejifungia eti anamuombea toba,matokeo yake ndio haya shemeji. Wacha nipeleke hili kwa baba paroko maana mtumishi sasa anahubiri meno badala ya neno.Shemeji yangu Patience123 nakusalimu shemji yangu..Sijakuona kabisa siku kadhaa..
I love more dear......thanks love.My one and only baadae kidogo. Th Name Loves you sana
Take care pia.