Ila sio kwa lipumba na BASHITEBinadamu tunawapa watu heshima na tunawadharau kutoka na nafasi zao maishani mwetu
Leo hii magu angekuwa baba yako ingekuwa vigumu mno kutokumkubali..though inawezekana kutokubaliana nae..
Ila nafasi aliyonayo mtu kwako ndio determinant ya namna utakavyo mtreat..
Na ndio maana Jambazi akipigwa na kuuliwa na watu, bado wako watakao mlilia tuu ..
Ukiweza kuwa na roho safi na kumpa mtu kile anachostahili utakiwa shujaa..
Exactly
Sunderland wabadili kochaAsante mkuu sikuona update mapema
Epl mambo matamuuuu
Twende sawa wakuu ukiwaacha wale wawili wa juu waende zao..... Basi huku kwenye top four ni pagumu sana kujua nani anabaki na Nani anatoka maana 63, 61, 57 na 54 hizi ni nambari za alama mujarabu kabisa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Sunderland ni kama teyari keshakufa ila Bado anasubiriwa Bradley tu kupeleka maua mwisho wa Msimu..... Sijawahi kukata tamaa ila kwa namna wanavyojikongoja Msimu ujao hakutakuwa na EPL pale Stadium of light....... David Moyes the Choosen one naona survival black cat wanafia mikononi mwako mzee.
Pamoja na red card ila Bado Sunderland hakuwa na mawazo ya kumzuia Mourinho kwa ....
Sunderland 0-3 Manchester united
Leo sijui mzee wetu Wenger anamshusha jirani yake ??
Kama kumuua mhindi weekend hii najua braza mwekahazina ulifanya chaguo sio sahihi ...
Very true
Kweli mkuu penye ukweli tunasemaChelsea ni njia nyeupe tu hatuna namna awe bingwa tu, Tottenham nae top four inamuhusu moja kwa moja hata man city kazi ipo namba nne zaidi Arsenal, Liverpool and Man United hapo ndio patamu
United ana mechi dhidi ya Chelsea, Arsenal, City na Tottenham moja nyumbani Tatu ugenini ni ngumu sana mechi mbili Etihad na kwa Tottenham
Arsenal ana United, na Tottenham kwake zote ni ngumu
Liverpool alishamaliza wakubwa ila ugonjwa wake wa timu ndogo bado upo
Yeah!!! Huwa hawako depressed na hawana vinyongo.....n I like kuwabembelezaReally!!!
Mkuu washachelewaSunderland wabadili kocha
Let me guessUmeniwahi mkuu kwenye tafakari ya kirat ..mm apa sijampata kipanya kabisa
Still we have a best opportunity to be wanted on our on!!!Sana mkuu! Hiki ndio kipindi cha kuwafanya waolioko depressed/unwanted wawe wanted na wao.
Balozi ashasema kuna definition zaid ya 100 na ni kweliiLet me guess
Utumiaji mbaya wa nguvu tulizopewa
Hua unamchezeshea kichapo mama mchungaji?
Hakutaja ni majani ya mboga ganiThanks Chap!!!.....in Swahili yaitwaje?
I saved your comment the days backHiyo kazi anafanya mzee mkavu
Wanajaribu kuzuia mlio wa bunduki kwa kutumia puto yaani wanajaribu kuficha uovu kwa njia ambazo ni rahisi kuugundua uovu wao
Kuna tafsiri zaidi ya 100
.....
Umeonaeeh!!!Hahaha
Umeanza uchochezi sasa
Wakifungwa wataenda kwenye kamati tenaNaona jinsi Mbao kashachukua point tatu mbele ya simba kibogoyo
Don't cry!You make me cry!!!
Upo vzr upande wa kuchambua mpira.
Am sure utakua kocha wa timu za watoto hapo mtaani
Sarcastic
HahahaTunapinga unwanted