Binadamu tunawapa watu heshima na tunawadharau kutoka na nafasi zao maishani mwetuKweli ni kitu kibaya lakini kuna pipo zinastahili kudharauriwa + kutoheshimiwa na pia hazikubaliki refer to Bashite na Lipumba maana wenyewe hazijiheshimu
Ila ni ving'ang'anizi balaa
.....
Itakuwa naye katekwaMama Mchungaji, Tumsifu Yesu Kristo!!!
Kakangu Q Umemuona wapi jamani!!!
Kijana wangu yale maneno uliyokuwa unayaongea sikupaswa kuyaskiza nikaondokaBaba unakwenda wapi?
Binadamu tunawapa watu heshima na tunawadharau kutoka na nafasi zao maishani mwetu
Leo hii magu angekuwa baba yako ingekuwa vigumu mno kutokumkubali..though inawezekana kutokubaliana nae..
Ila nafasi aliyonayo mtu kwako ndio determinant ya namna utakavyo mtreat..
Na ndio maana Jambazi akipigwa na kuuliwa na watu, bado wako watakao mlilia tuu ..
Ukiweza kuwa na roho safi na kumpa mtu kile anachostahili utakiwa shujaa..
Yes hali hiyo humfanya mtu kisaikolojia asiwe sawa kabisa na hupelekea kukata tamaa.
R.I.P Mom Teresa
Aliishi 87yrs +30days
Nyagei acha mambo yako bhanaItakuwa naye katekwa
Hahahahaa!Nasikia kesho unaleta misuli
Yale maneno ya muda sanaKijana wangu yale maneno uliyokuwa unayaongea sikupaswa kuyaskiza nikaondoka
Asante mkuu sikuona update mapemaKabla hatujalala tujue kilichojiri viwanjani leo
Belgium playoffs
England EPL
Moyes ameshakubali matokeo ya kushuka daraja
Germany Bundesliga
Kenya premier League
Really!!!I like crying women
Asante kaka!Heshima kwakooo
Kuna msemo mmoja aliusema Bishop To JakesSana mkuu! Hiki ndio kipindi cha kuwafanya waolioko depressed/unwanted wawe wanted na wao.
Ni kweli mzee Wenger anaweza kukumbana na ya mzee wa blues ila kumbuka Chelsea biashara walishafanya mpaka kwenye alama 72 sasa kilichobaki na wanachokifanya kwa sasa ni mahesabu tu..... Walianza na hesabu ya alama +18 na sasa wanaendelea kuhesabu +15 zilizobaki.Tupate ratiba ya mechi za leo
VPL
Mbao akimkamkaribisha Simba huku Mtibwa akiwa mwenyeji wa Azam kule Manumbu Turiani
EPL
Je na leo Crystal Palace ataharibu kwa Arsenal kama alivyofanya kwa Chelsea?
LaLiga
Huwezi jua mapenzi iko na nguvu sanaNyagei acha mambo yako bhana
Yaani utanifanya nisitende dhambi kimoyomoyoNa Mimi japo ni wajibu kuweka ila ntaliacha kuliweka
Big up mkuu nimeipenda sana nukuu ya leo inagusa sanaAsante kaka!
Muinue alieko chini, mpende Aliyetegwa..
Hahahahaa!
Pimbi vs kisheti..
Hahaa! Huwa mnanichekesha sana ninyi jamaa
Kwenda kupiga watu vi-pawpaw???Bhinamu nakumis ila kesho nakuja gheto mambo yetu yaleee
Hua unamchezeshea kichapo mama mchungaji?I like crying women