Amen nawe piaJtatu nyingine tena Makapuku, tuwe na wiki njema
Njema tunamshukuru MunguFamilia yangu uhali gani ?
Aksante mama mlezi wetu na wewe MUNGU akuangazie baraka zake kwa ijamaaaNaamini mmeamshwa salama,Mungu yu mwema nami nieamshwa salama sifa ,heshima,utukufu na shukurani ni kwa Baba...nawatakia juma takatifu jema huku tukiutafakari wema wa Mungu Baba siku zote za maisha yetu.
Tudumishe upendo,amani,mshikamano na uvumilivu
Amos 3:3 Je! watu wawili waweza kutembea pamoja ,wasipikuwa wamepatana?
Mbarikiwe mtokapo na mbarikiwe kila muingiapo,kazi zetu zibarikiwe,mipango yetu ibarikiwe,wabarikiwe wana wenu nafamilia zenu ..wema wa Mungu uwazunguke daima
Ameeen mkuu nakuona kama kawaida yakoJtatu nyingine tena Makapuku, tuwe na wiki njema
Bwana weeeeeeSio chura wala sio flat
Kitu dondola kaka ndio ugonjwa huo