Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kitu flat screen kama wa-irish

Slide to open ile mtu havui pichu mkuu..kwahiyo ndo pichu inakuwa slided..

Jamani tulale sasa [emoji23][emoji23][emoji23] This is too much..and too much is harmful [emoji23][emoji23]

Sakayo tunaharibu watu sasa! Hahaa
Sio chura wala sio flat

Kitu dondola kaka ndio ugonjwa huo
 
Mke wa zamani nilimuacha kwa sababu ya arsenal..

Arsenal wakifungwa tuu sipiwe siku hiyo..hata kama ni siku ya ratiba..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Nimekumbuka mbali kidogo

Kuna mmoja yeye alikuwa hapendi kabisa asikie kitu mpira basi ni kununiwa siku mbili
Ila alikuwa fans mkubwa wa Chicharito
 
Wakuu woooote..

Nawatakia usiku mwema..

Mungu awe nanyi nyote.
[emoji120] [emoji120] Ulale unono
Usiku mwema jamani mlale salamaa bilakumsaha mpenz wangu Paprika NAKUPENDA sana!
Obe ndio mida yako hii kuja kukesha humu Goodnight bro.
Na kwako pia kisheti
Wana familia jamani muwe na usiku mwema wote!!!

Mungu wangu na awalinde wote!!! Nawapenda ila T nampenda zaidi jamani!!!
Ahsante shem wane
Na kwako pia
Naona kila mtu anaaga saa mimi tabaki Na nani
Nipo hapa
Shemeji yenu ananibana sana wakuu hanipi mda nibadilishane mawazo na jamaa zangu
Bila shaka shem wetu ana chura matata ndio maana unakubali kubanika
 
Netherlands EREDIVISIE
920454d4f32923171dd7a8e4f84bcd3b.jpg

Italy Seria A
5b9e27c1dad94357c0d2a313aa97af59.jpg
 
[emoji49] [emoji49] [emoji49] [emoji49] we majini yanakunyemelea wewe
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom