Sio chura wala sio flatKitu flat screen kama wa-irish
Slide to open ile mtu havui pichu mkuu..kwahiyo ndo pichu inakuwa slided..
Jamani tulale sasa [emoji23][emoji23][emoji23] This is too much..and too much is harmful [emoji23][emoji23]
Sakayo tunaharibu watu sasa! Hahaa
Hii ndio mida yake kuonekana humuNzuri
Nakumiss ujue, Kakangu Q sijui yu hali gani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mke wa zamani nilimuacha kwa sababu ya arsenal..
Arsenal wakifungwa tuu sipiwe siku hiyo..hata kama ni siku ya ratiba..
Hapo ndipo patamu siku moja kabla ya mechi ya watani inabidi ninyi mcheze kwanza ndipo mkaangalie uwanjani kiroho safiWewe inabidi ujue yanga tuu!
Afu hapo pa yanga tayari tushatofautiana..
Mimi wa msimbazi
Shedebe na hiyo list ni kama mwana wa Sizonje
AmenWakuu woooote..
Nawatakia usiku mwema..
Mungu awe nanyi nyote.
[emoji120] [emoji120] Ulale unonoWakuu woooote..
Nawatakia usiku mwema..
Mungu awe nanyi nyote.
Na kwako pia kisheti
Ahsante shem waneWana familia jamani muwe na usiku mwema wote!!!
Mungu wangu na awalinde wote!!! Nawapenda ila T nampenda zaidi jamani!!!
Nipo hapaNaona kila mtu anaaga saa mimi tabaki Na nani
Bila shaka shem wetu ana chura matata ndio maana unakubali kubanikaShemeji yenu ananibana sana wakuu hanipi mda nibadilishane mawazo na jamaa zangu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hapo ndo utajua kuwa ulinzi wangu unazama deep zaiid
Nafanya ninacho agizwa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji49] [emoji49] [emoji49] [emoji49] we majini yanakunyemelea wewe
Aminaaa chiefMapenzi yakizama deep uwa hivyo apo hakuna cha ajabu
Cha muhimu nikuwa wanapendana na mimi wanavyopendana napenda.
[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji85] [emoji85] kwani uongo baby
Ipo kwelikweliaiseee kazi ipo
KaribuuDah ngoja niombe kuishi huu mtaa maana mmmh,,, balozi upoo?