Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Weather iko mubashara sanaWakuu jumapili na Siku yetu vinaenda mwororo
Shunie na LeeAlikupokea nani
Alikupokea nani
Hata Mimi nilimuona kwa mbaliHatujambo mti mkavu
FaizaFoxy alipita huku ulikuwa wapi wewe?

Okay vizuriShunie na Lee
Mie huku nilipajua siku nyingii ila nilikuwa nawaogopa Kishenzi, ujue mpaka saivi kuna ID ambazo nikiziona bado naogopa !!!
Ujue tunataka kuongeza familia ya kapuku Shedebe anataka kuunganisha mapendo kwa mama FaizaFoxy.Hata Mimi nilimuona kwa mbali![]()
Salama mkuuHabari za mchana wana wa makapuku!?!?
Sijuii kwa kweli shem, labda ni sababu wako serious sana Sielewi!!!Okay vizuri
Ila unaniangusha kusema kuna ID unaziogopa!
Kwanini ilhali wakati wanavuta pumzi kama wewe shem wane?
Vzr sana .....Salama mkuu
Kama id ip?Shunie na Lee
Mie huku nilipajua siku nyingii ila nilikuwa nawaogopa Kishenzi, ujue mpaka saivi kuna ID ambazo nikiziona bado naogopa !!!
Hahahahaa! Hii id yako nikichanganya na unachoandika naishia kucheka tuuUjue tunataka kuongeza familia ya kapuku Shedebe anataka kuunganisha mapendo kwa mama FaizaFoxy.
Sijui kwako mzee wa mboga mboga?
Acha uchochezi mpenzi wangu jamani!!Kama id ip?
Itakuwa vzr sana koz faiza ni mchambuzi mzr wa mambo pia!!Ujue tunataka kuongeza familia ya kapuku Shedebe anataka kuunganisha mapendo kwa mama FaizaFoxy.
Sijui kwako mzee wa mboga mboga?
Mmmh! Jamani yaaani na hili tabasamu unaniogopa..?Acha uchochezi mpenzi wangu jamani!!
We mwenyewe nakuogopa ujue
Yaani hilo tabasamu tu mie hooooiMmmh! Jamani yaaani na hili tabasamu unaniogopa..?
Milele AminaBwana Yesu asifiwe taifa la Mungu.....asalaam aleykum
Yaani wewe sakayo!Yaani hilo tabasamu tu mie hooooi
Usisahauu ripoti sio nzuriiDaaaah
Nshasahau ujue