Nina maswli kibao kwako na Baily5Njia rahisi ya kushindana na wakorofi ni kuignore
Zamani thread za kutushambulia nilikuwa nyongi baadaye tukagundua lengo ni kiki na kutupandisha hasira ili tuonekane wakorofi zen huu uzi ufutwe
Hivyo tukaanza kuwapuuza na kweli mashambulizi yakapotea
.......
Muulize Bailly ht Mussolini hao ni "wakongwe" humu na wanaelewa vizuri karibu kila kituNina maswli kibao kwako na Baily5
ShedebeNyagei au shedede
Endelea kuusoma mkuuebwana kweli mnaweza kulisongesha, struggle zote na competion ya wakongwe lakin kombe limeenda kwa MAKAPUKU kwa kweli
nimeousoma mchezo since game inaanza Aprl 9 2016.
Mengi nitakuuliza wewe!Muulize Bailly ht Mussolini hao ni "wakongwe" humu na wanaelewa vizuri karibu kila kitu
Sio kila kitu nieleze mimi
.....
Sawa mkuuHapana
Nafikiri ni ya kawaida tu ila muundo wake ndo umekaa vibaya ila nafikiri ni kwa sababu maalum
....
Mimi sio RaisRais hatakiwi kuwa dikteta.
pamoja sana kubwa laoMkuu umeelezea vizuri
Sina cha kuongea
Mafanikio ya huu uzi ni ya wote
Kila mtu ana umuhimu wake
............
umemsahau Mc Manaman
HukuFowler, pale Owen kule Heskey...Liver ya zamani ilikuwa balaa afadhali kina Coutinho, Firmino na Mane wanajitahidi kurudisha heshima ya kina Suzrez na Torres
.....
umemsahau Mc Manaman
Hatari sana mpira wa kipindi kile haupo tena wamebaki masharobaro tu
hapo akishangilia kwa style ya kunusa unga, alipigwa faini na F.A
Kwa age uliyoitaja juzi kizazi chako bado kinaishi mpaka 13yrs laterYour excellence Kapuku Founder mr .Bitoz
Distinguished Kapuku Supporters..
Ladies and gentlemen..
Goodmorning all...
Awali ya yote nitoe shukuran zangu walionipokea makapuku mwaka jana.
Mwanzoni kabisa nilikuwa sielewi makapuku pako vipi..na kweli ukija huku weww ni mgeni lazima uwe na maluwe-luwe manake watu wanapiga stori as if wanalala nyumba moja.. kama ni mgeni lazima uvurugwe..
So nilikaa kama week nasoma tuu comment bila kulike wala kukoment chochote..japo forum ilikuwa imelala sana..baada ya muda nikaondoka nikifikiri forum imekufa ..
Ila kila baada ya muda nilipita kuangalia..siku ya kwanza kucomment ilikuwa ni salamu kwa Broo Quigley na mussolin5
Nilijifunza kwanza kusalimia tuu..
Wakati huo nilikuwa sana jukwaa la jf-intelligence na jukwaa la siasa.
Baada ya muda nilipazoea huku kidogo kidogo so nikawa nakuja kapuku kila siku..
Hapa nina marafiki wengi sana! Nitoe tuu shukrani zangu kwamba nikichoka huwa nakuja kurefresh hapa..naweza nisiingie whatsapp siku nzima ila makapuku naingia..
It has been a nice and stressless zone for me..Wengine hapa ni marafiki hadi nje ya makapuku forum and thats how friends should live..
Nitoe shukrani za dhati kwa Quigley, shululu, Queen kan, Obe, Tetra, shunie, Sakayo wangu, nyagei, blessesdhope, werrason, shedede, lee empire, Baily5, Bitoz,Jimena,Mondray,paprika,Clkey,johnsonmgaya,fakalava,mkoroshokigoli,Rogie,SHIMBA YA BUYENZE,PRONDO,Aisha,snipes,Rayvan boy,mussolin5,mkubhi na wengine woooote ambao sijaweza kuwataja hapa ila tuko pamoja..
Mualike makapuku wengine ! Kizazi cha kina Transcend kinapita ..
Happy One year anniversary to you kapukuz..
Hivi mimi ni mshauri?Kwa age uliyoitaja juzi kizazi chako bado kinaishi mpaka 13yrs later
BTW happy birthday to you too kapuku Mshauri
Kama jana uliona sura yangu utaelewa kuwa sina ile miaka..Kwa age uliyoitaja juzi kizazi chako bado kinaishi mpaka 13yrs later
BTW happy birthday to you too kapuku Mshauri