Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Miss you moreHahaa!
Nimekumiss mamie
Mbona umeingia na Shunie, metokeamo wapi
Miss you moreHahaa!
Nimekumiss mamie
Hahaaa!Tuko tofauti
Mie natamani nione almasi inavyokuwaga maji
Na ukomeee![]()
![]()
yaishe kaka mkubwa
Karibu sana we belong to each other kila siku tunajifunza,hata mimi kunawatu walinisaidia kuelewa so tunaelimishana ili tusonge mbeleNashukuru mama mchungaji
MUNGUakubaliki kwa kutujuza kwa hilo![]()
![]()
![]()

HahahaOoh! Huku hapa unataka kesi sasa !
Kuna wazee nilikuwa nao Dec mwaka jana..!
Do nt try this! It will back fire you..
Amina mama Mchungaji..SAMAHANI WAPENDWA..Tujitahidi kuheshimu majina haya tukiyaandika hivi :
YesuYESU
SIO
yesu![]()
MunguMUNGU
SIO mungu
![]()
BwanaBWANA
SIO
bwana
Maana tukiandika visivyo tutakua tunazungumzia wale mungu wengine na sio Mungu Baba Mwenyezi tunayemuabudu. na kumuheshimu....asante![]()
AmenKaribu sana we belong to each other kila siku tunajifunza,hata mimi kunawatu walinisaidia kuelewa so tunaelimishana ili tusonge mbele![]()
Imani yako ni haba![]()
sasa kwa wazee unafanya nini
Nakati mi nalindwa na damu ya yesu apa
Umenenaa vyema mkuuBongo ukivaa uhusika kama changudoa kwenye mchezo watu huamini hadi mtaani utazomewa.
Watu wengi wanashindwa kutusoma humu kwa njia zetu za mawasiliano tukiwa humu, jina kapuku linawasumbua sana na kuamini sisi ni malofa flani, wanashindwa kuelewa tuwamo huku tunavaa tu uhusika flani, wanaona tu kapuku hata ktkk maisha ya kila siku.
HUU NI MTAZAMO HASI KABISA.
HUMU WATU WANA MAISHA YAO LABDA HATA KUWAZIDI WENGI WANAOJIONA BABKUBWA.
Ni kweli kabisa mkuu hatujui siku wala saa,hata mvua itanyesha saa ngapi hatujui ndio maana ni vema kuwa na muavuli kwa tahadhari.Well said. Na mtu Bab kubwa mara nyingi hajionyeshi. Ukiona anajionyesha basi huyo ama ni limbukeni wa mafanikio au ni Mhaya (utani!). Sema tu hatuwezi kutajana humu lakini hata hapa Makapuku nafahamu wawili watatu hivi ambao kimaisha wako mbali sana. Lakini wapo humu tunacheka na kugombea nao akina Shunie bila wasiwasi. Na binafsi huwa navutiwa sana na watu ambao wako humble. Dunia hii ina bingwa hii mpaka mtu ujae majigambo, dharau na kujionyesha. The tables can be turned in a blink of an eye huwa unayemcheka na kumdharau unamkuta yuko juu...
MmmmhNina kama week 2 sijaona mtu akiwekwa kati..
Tumetoka kuleeee...kule mbalii..Miss you more
Mbona umeingia na Shunie, metokeamo wapi
Kwa heri by the wayZina nini? Hata sielewi kwa nini naendelea kuwepo humu by the way!
Muelewesheni vizuri inaonekana hii ni mara ya pili hajibiwiKila kitu...
Au kasome post # 1 na post # 5
Thank you madam mchungaji..Sakayo you Lk AMAZING ON YOU DP,UMEPENDEZA DEAR
![]()
![]()
![]()
Askofu kalivalia njuga la mondi ??Naona kuna Mond na Ngwaji
Kesho ibada wale wa Dar mtupe news