Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mange kuna muda anakuwa na akili timamu bhanaNamkubali sana Mange
Mange kuna muda anakuwa na akili timamu bhanaNamkubali sana Mange
Kisa Romanimefunga
HahahaKisa Roma
Sure.. na RC jana alisema watapatikana kabla ya jumapili wote wanne na wote wakiwa wazima kabisa..Hicho kitendawili ni kigumu, na tusitegemee jibu maana mtekwaji atakuwa kapata vitisho vya kutosha....
La muhimu wako salama
Yawezekana osterbay kanisaniKafikaje kituoni, wakati walisema hayuko kwenye kituo chochote
Heee
Makubwa
Waache ujinga wajate mzizi wa fitina kwa kusema alikuwa wapi na kafikaje Polisi ili tujue lipi la kushikaNamkubali sana Mange
Hii filamu imeungua, kila mtu aliyepata habari ya kupatika kwa Roma anamnyooshea Bashite kidoleNdo yaleyale ya Mange kwamba anashikiliwa na Bashite na Sirro zen watajifanya kumpata na kuonekana mashujaa
Kweli Mange mpuuzi lkn samtaimu ana point
......
Roma anifanye mm nifunge hapana aisee nimefunga kwaresmaKisa Roma
Sanaaa sema kuna watu hawamuelewiMange kuna muda anakuwa na akili timamu bhana
umefurahia na wwHahaha
NilijuaàaaNamkubali sana Mange
Yaani Huyu RC ni kitendawili toshaSure.. na RC jana alisema watapatikana kabla ya jumapili wote wanne na wote wakiwa wazima kabisa..
MmmmhYawezekana osterbay kanisani
kwan ww haumpendiNilijuaàaa

Huyo fala kuropokaa kutamponzaa ajee atwambie alitegemeaa kuwatoa wapiiSure.. na RC jana alisema watapatikana kabla ya jumapili wote wanne na wote wakiwa wazima kabisa..
Sio rahisi kusema ukweli, hilo litabaki kuwa siri yaoWaache ujinga wajate mzizi wa fitina kwa kusema alikuwa wapi na kafikaje Polisi ili tujue lipi la kushika
....
Tatizo Polisi hawajielewiHii filamu imeungua, kila mtu aliyepata habari ya kupatika kwa Roma anamnyooshea Bashite kidole
Ndo nasubiriaWaache ujinga wajate mzizi wa fitina kwa kusema alikuwa wapi na kafikaje Polisi ili tujue lipi la kushika
....
Yaani mpaka ataona aibu sasaHii filamu imeungua, kila mtu aliyepata habari ya kupatika kwa Roma anamnyooshea Bashite kidole
AwwwahNakupenda
Si unajua niko shamba babe, karibu tule ndo niko hapa chini ya mwembe!!!