Makapuku Forum

huyu jamaa anatumika vibaya
Ni mke mwenza wa Bashite
Huoni kasaini mkataba GSM Mall pia Bashite ndio mlezi wa WCB....Japo mimi ni shabiki pia dansawake mmoja ni swahiba wangu lakini kwa hili anapotea
Wimbo utapotezewa vituoni maana mashairi ni km kaandikiwa na Bashite ili ajisafishe

Kumbuke Bashite siku zinavyozidi ndo skendo na maadui wanaongezeka halafu watetezi wake wanapungua sasa watavaki WCB na Le Mutuz wote low IQ hawaiwezi hii vita
. .....
 
Sijaifuatilia kabisa hiyo series maana ni ndefu napenda series fupi hazichukui muda mrefu sana
Sasa hivi inakuwa kali manake scofield/kaniel outis ameungana na ISIS kina linc na C-note wanataka wamtoe gerezani jamaa amewakana na anadai hawafahamu..

T -bag anapatiwa prosthetic Hand ambao unafanya kazi kama mkono wa kawaida baada ya kukatwa mkono na John Abruzzi wakati wanatoroka Fox river..

T-bag anagundua kuwa matibabu hayo yamelipia na mtu anajiita Outis ambaye ndie michael scofield

Imekaa patamu...

Mondray atakuwa amenielewa hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…