Makapuku Forum

Waafrika tunajali zaidi matumbo yetu badala ya afya zetu na heshima au maslahi ya Taifa....
mwangalie Mrema kang'ang'ania sijui Uenyekiti wa wanyamapori na yule Makamu wa Rais Zenji japo kuongea tu kwao ni shida
...
 
Waafrika tunajali zaidi matumbo yetu badala ya afya zetu na heshima....mwangalie Mrema kang'ang'ania sijui Uenyekiti wa wanyamapori japo kuongea tu shida
...
Afrika tuna safari ndefu sana, Mrema kachoka, Mrema kaisha lakini haachii madaraka.

Twende kwa marais, wapo akina Mugabe, wapo akina Biya, wapo akina Museveni hawajawahi kufikiria kuachia madaraka japo wengine hali zao ni tete umri umewatupa mkono.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…