Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nilishindwa kuwaleteeni matokeo ya mechi za jana, mniwie radhi wana Kapuku's.
Leo tutapata matokeo kisha na ratiba ya mechi za leo tarehe 7/4/17
Msisahau leo ni Karume day.
Njema mkuu Nyagei uwe na siku njema,Mungu akubarikiNjema mkuu !
Sikushangai mkuuWhaaaaaaat a suprise jamaani..
Huyu mtoto wa kitanga anaiuwa sasa...
Nyagei nikisema Nampenda Sakayo bure anashangaa !
Mapenzi bhana ni kitu cha ajabu sana..! Kuna vitu vidogo vidogo unafanyiwa tuu alafu unampenda mpaka basi...
Sasa hivi nimepokea Zawadi ya kalamu! Just a pen..! Just one pen! Ila kwangu ni zawadi kubwa mno..
Imeandikwa Id yangu ya Jf..! Mimi sijui Sakayo kanunua wapi...
Kalamu imeandikwa Transcend..then Good memories....bla blaa..
Huyu mwanamke nampenda sana
Sakayo nakupenda mke wangu..
Asante kwa zawadi ! I love you..
BTW parabens frere kwa package giftWhaaaaaaat a suprise jamaani..
Huyu mtoto wa kitanga anaiuwa sasa...
Nyagei nikisema Nampenda Sakayo bure anashangaa !
Mapenzi bhana ni kitu cha ajabu sana..! Kuna vitu vidogo vidogo unafanyiwa tuu alafu unampenda mpaka basi...
Sasa hivi nimepokea Zawadi ya kalamu! Just a pen..! Just one pen! Ila kwangu ni zawadi kubwa mno..
Imeandikwa Id yangu ya Jf..! Mimi sijui Sakayo kanunua wapi...
Kalamu imeandikwa Transcend..then Good memories....bla blaa..
Huyu mwanamke nampenda sana
Sakayo nakupenda mke wangu..
Asante kwa zawadi ! I love you..
Magazetiii yetu pasua vichwaaNimeshindwa kuelewa huyu Faru Fausta anatumia gharama kiasi gani?
Nakuja Mkuu unifungulie mlango!!Karibu inbox
Ukurasa wa Twitter wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) waweka picha ya Mtanzania, Mbwana Ally Samatta na kumtaja kuwa ni mchezaji wa kuangaliwa.
- Mshambuliaji huyo hatari amefunga magoli sita katika michezo mitano ya mwisho aliyoichezea Klabu yake ya KRC Genk.
Shemu kipenzii uko poaa ??Mmmmh
Wenzetu sio wa mchezo kwa kweli
Namshukulu MUNGU sakayo nmebakia naugulia mauvi ya kawaida!!Habari yako mkuu
Waendeleaje na hali
Shem kumbe ulikuwa sahihi ni kidume aiseeShedede umepotea
Huyuu jamaa shidaaBullar Mzee wa sebene
×mucha gracious =muchas gracias
Shkamo shemejiShemu kipenzii uko poaa ??
Mzee mkavuuNjema mkuu !
Pole sana mkuuNamshukulu MUNGU sakayo nmebakia naugulia mauvi ya kawaida!!
AminaPole sana mkuu
Amini hakuna linalomshinda Mungu, utapona tuu....
Ugua pole
Mkùu jana vip mboma ukuoneka au alikuwa club unakula vyomboMzee mkavuu
Zipo nyingi tu, Belgium, Germany, France, Netherlands, Spain and UgandaLeo kuna mechi gani?