Naupenda sana wimbo wao wa Chiquitica
Thanks so muchWakuu tuwe na siku njema..
Mkuu mr T tunakusubiria kwa lishe ya ubongo ...Ila sio mbaya tukaipitia na hii
Wenzetu wako mbali sana
Imebaki historiaje wajua..??..
kwamba klabu ya mpira wa miguu arsenal ya uingereza ndio timu pekee kwa kipindi cha miaka 30 iliyopita iliyocheza mechi zote 38(+11 za msimu uliofuata) za ligi msimu wa 2003/04 bila kupoteza na kutwaa ubingwa wa EPL .....!!..
Beeh