Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
inasikitisha sana
inasikitisha sana
Huyo ni Imran Kombe mzee wa TISS...baadaye Kagame akamdedisha ili kuficha ushahidi maana kwenye hivyo vifo vya hao marais kuna mkono wa KagameMussolin sijui n hii kuna mtu tanzania bada ya kuhisi harufu ya hawa maraisi aliwaambia wapande ndege tofauti wakakataa labda nimechanganya
Yes ni hii na kombe badae akaja kuuliwa na kagameHuyo ni Imran Kombe mzee wa TISS...baadaye Kagame akamdedisha ili kuficha ushahidi maana kwenye hivyo vifo vya hao marais kuna mkono wa Kagame
......
1974 - Bendi ya muziki ya ABBA yapata tuzo ya Eurovision Song Contest kwa nyimbo yao ya Waterloo.
1984 - Baadhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Cameroon wanajaribu kufanya Jaribio la Kupindua Serikali ya Rais wa Nchi hiyo Paul Biya lakini Jaribio hilo linashindikana.
Paul Biya yupo madarakani kwa miaka 37 mpaka sasa.
1938 - Paul Daniels anazaliwa.
Alikuwa ni mwanamazingaombwe kutoka nchini Uingereza.
Anatajwa kama mtu aliyeleta mapinduzi makubwa katika sanaa ya Mazingaombwe ulimwenguni.
1965 - Rafael Correa anazaliwa.
Ni Rais wa 54 wa nchi ya Ecuador.
1988 - Fabrice Muamba anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Arsenal, Birmingham City na Bolton.
Licha ya Kuzaliwa, Kinshasa, Zaire aliamua kuchukua Uraia wa England.
Alistaafu soka mapema tu mara baada ya kudondoka uwanjani na moyo wake kusimama kwa dakika 78 bila kufanya kazi.
Shabiki mmoja aliyekuwa uwanjani ambaye kitaaluma ni Daktari ndiye aliyeokoa maisha yake kwa kumpatia huduma ya kwanza.
Ilikuwa ni mechi ya Kombe la F.A ambapo Bolton walicheza dhidi ya Tottenham.
mpk sasa![]()
![]()
Ukiona hapinduliwi ujue ni kibaraka wa Marekani![]()
....

mke wake mzuriCameroon kumbe hakuna mbadilishano wa madalaka!!1984 - Baadhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Cameroon wanajaribu kufanya Jaribio la Kupindua Serikali ya Rais wa Nchi hiyo Paul Biya lakini Jaribio hilo linashindikana.
Paul Biya yupo madarakani kwa miaka 37 mpaka sasa.
1988 - Ivone Orsini anazaliwa.
Alikiwa ni Miss World mwaka 2008 akitokea nchi ya Puerto Rico.