Makapuku Forum

Ukurasa wa Twitter wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) waweka picha ya Mtanzania, Mbwana Ally Samatta na kumtaja kuwa ni mchezaji wa kuangaliwa.

- Mshambuliaji huyo hatari amefunga magoli sita katika michezo mitano ya mwisho aliyoichezea Klabu yake ya KRC Genk.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…