Makapuku Forum

Makapuku Forum

Whaaaaaaat a suprise jamaani..

Huyu mtoto wa kitanga anaiuwa sasa...

Nyagei nikisema Nampenda Sakayo bure anashangaa !

Mapenzi bhana ni kitu cha ajabu sana..! Kuna vitu vidogo vidogo unafanyiwa tuu alafu unampenda mpaka basi...

Sasa hivi nimepokea Zawadi ya kalamu! Just a pen..! Just one pen! Ila kwangu ni zawadi kubwa mno..

Imeandikwa Id yangu ya Jf..! Mimi sijui Sakayo kanunua wapi...

Kalamu imeandikwa Transcend..then Good memories....bla blaa..

c821675104e40e43f6e39fdcaa74283c.jpg



Huyu mwanamke nampenda sana

Sakayo nakupenda mke wangu..

Asante kwa zawadi ! I love you..
Safi sana mdumu katika upendo

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
BB King, mfalme wa Blues wa muda wote. King, ni maarufu si kwa sababu ya uwezo wake wa kupiga gitaa na kutunga mashairi yanayovutia bali pia kwa namna alivyokuwa na maono makubwa katika maisha ya mahusiano yenye kujenga jamii iliyo bora.

King, aliyefariki usingizini mwaka May 14, 2015 huko USA alikuwa ni mwanaharakati maarufu wa elimu kwa jamii yake, msemo wake kuhusu elimu ulikuwa ni "education is something no one can take away from you, and there is a vast population of under-served children in our area who need the message of hope" Tafasiri rahisi ni kuwa hakuna anayeweza kukunyang'anya maarifa/elimu na kuna jamii kubwa ikiwemo watoto wanaohitaji ujumbe wa kuwapa matumaini"

Binafsi, ukiondoa nyimbo zake nyingi nazovutiwa nazo kama The Thrill is Gone na You Upset me baby, ninavutiwa na wimbo wake "Don't answer the Door"

Najua unaweza usipende Blues lakini kujifunza usichopenda ndo maarifa yenyewe hayo

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom