Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Nitarudi bro hope tutakutana.Mbona hujatoa taarifa mkuu ya uwepo wako kwa Bashite
Nitarudi bro hope tutakutana.Mbona hujatoa taarifa mkuu ya uwepo wako kwa Bashite
Iko poa ila ninakaribia nusu mwaka sipoNiko poa kisheti
KG iko poa?
hahahhh ukishindwa shedede atakuwahiAkitokea tu tunaye leo
Mpaka kieleweke![]()
AmeenSafari njema ufanikiwe
Wala mm sio mzee wa kilinge ni kadogo tu.we nakuamini mzee wa kilinge
That is itAksante Mkuu sasa inabidi makini kuusoma mchezo!!
Very true just believe ,you will be ok .Aksante sana but I believe these are temporal hardness in Jesus name!!
HahahaaaKidume kilichokamilika hakiwezi kuweka avatar tata namna hiyo labda kama awe.....
Vipi kuhusu migebuka itakuwepo kweli baada ya ya hiyo miezi tisaNitarudi bro hope tutakutana.
Okay upo kwenye utafutaji joh ni poa sana maadamu ni utafutaji halaliIko poa ila ninakaribia nusu mwaka sipo
Huyo soudy ni hatari sana kwenye ubuyuhahahhh ukishindwa shedede atakuwahi
Umegundua nini mkuuHahahaaa
Koromije

Migebuka always available ila hata mm nimeikumbuka.Vipi kuhusu migebuka itakuwepo kweli baada ya ya hiyo miezi tisa
Leo Katika Historia:
1994 - Mauaji ya Kimbari nchini Rwanda yaanza ni baada ya kutokea mauaji ya Marais wawili wa Burundi na Rwanda kwa ndege waliyopanda kulipuliwa ikiwa inatokea Dar Ea Salaam.
Mussolin sijui n hii kuna mtu tanzania bada ya kuhisi harufu ya hawa maraisi aliwaambia wapande ndege tofauti wakakataa labda nimechanganyaLeo Katika Historia:
1994 - Mauaji ya Kimbari nchini Rwanda yaanza ni baada ya kutokea mauaji ya Marais wawili wa Burundi na Rwanda kwa ndege waliyopanda kulipuliwa ikiwa inatokea Dar Ea Salaam.