Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Binafsi hii kauli ya bure huwa inanipa kizunguzungu tuAwwwwwwwwwh!
Nakupenda bureeeeeee...!
Yaani ukiondoka tuu! Nasepa jf mazima
Binafsi hii kauli ya bure huwa inanipa kizunguzungu tuAwwwwwwwwwh!
Nakupenda bureeeeeee...!
Yaani ukiondoka tuu! Nasepa jf mazima
Hata simuelewagi Bullar
Halafu hata ukimkuta kule kwingine ni hivyo hivyo tu
Habadiliki![]()
![]()



jana nilikua simwelewi maswali yake hivi ni jinsia gan bullerYa kusepa jf..?Binafsi hii kauli ya bure huwa inanipa kizunguzungu tu


T Nakupenda pia!!!Nakupenda tuuu!
jana nilikua simwelewi maswali yake hivi ni jinsia gan buller

Kwa nini shemBinafsi hii kauli ya bure huwa inanipa kizunguzungu tu
hahahhh mm nilijibu tu sbbu mwenyewe alikaa kimya ila mm toka nimjue huwa sielewi n jinsia gani![]()
![]()
Ulinijibu ni kidume![]()
![]()
Kusema nakupenda bure,Kwa nini shem
Ila atakuwa ni KE sio kwa character ile aiseehahahhh mm nilijibu tu sbbu mwenyewe alikaa kimya ila mm toka nimjue huwa sielewi n jinsia gani
Atakuwa mwanamke yule..jana nilikua simwelewi maswali yake hivi ni jinsia gan buller
sidhaniAtakuwa mwanamke yule..
Ila atakuwa ni KE sio kwa character ile aisee
75% ni KEAtakuwa mwanamke yule..
Bure kabisaa we hujui bureKusema nakupenda bure,
Mwingine atasema nimekusamehe bure
Hata sielewi hiyo bure ina wakilisha nini?
Kidume kilichokamilika hakiwezi kuweka avatar tata namna hiyo labda kama awe.....sidhani
mwanamke gan mda wowote yy chura na kuweka picha za vile hapana kwakweliKidume kilichokamilika hakiwezi kuweka avatar tata namna hiyo labda kama awe.....
Inapotumika ndio nashindwa kuelewaBure kabisaa we hujui bure
Kweli nakuambia shem yule ni KEmwanamke gan mda wowote yy chura na kuweka picha za vile hapana kwakweli