Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Alikuvuruga na nini tena mdogo wangulee plz sitaki univuruge uliyonivuruga juzi inatosha
Alikuvuruga na nini tena mdogo wangulee plz sitaki univuruge uliyonivuruga juzi inatosha
hahahhh hamna dada si unamjua huyo mtu wa utaniAlikuvuruga na nini tena mdogo wangu
GoodKwema kaka
Wee ngojaa akumezesheee sumu unajua kitakachokupataamm sipokeagi no ngeni utapiga utachoka mwenyewe
kweli nimeamini mnawasiliana
Mbona hujatoa taarifa mkuu ya uwepo wako kwa BashiteHapana sidhani kama nitarudi ssa hv am in ma way to zenj na ninaweza kaa hata miezi 9 nitamuelekeza tu aende somewhere kama itashindikana huko alipo enda.
Nikutumie kwanza text?mm sipokeagi no ngeni utapiga utachoka mwenyewe
kweli nimeamini mnawasiliana
Mmmmhmm sipokeagi no ngeni utapiga utachoka mwenyewe
kweli nimeamini mnawasiliana
Get well soon mkubhiAksante Mkuu sasa nimeshapata tiba...ndo naendelea na huduma za kawaida![]()
NjemaSalama
Habari
sijib text no siijui wala sipokei simu no nisiyoijuaNikutumie kwanza text?
Unaogopa hadi no. ya mdogo wako
Unaenda wapi babe jamaani?Mmmmh
Ngoja niondoke maana nilisutwa humu
hahahhahaWee ngojaa akumezesheee sumu unajua kitakachokupataa
Haya bhanahahahhh hamna dada si unamjua huyo mtu wa utani
hivi jana usiku ulinikimbia nilikuacha na mzee wa chura buller popoGood
Hhahaaaaa! Shunie nakuona kama vile unataka kutupa simu yaani..sijib text no siijui wala sipokei simu no nisiyoijua
Aaah, ni mengi ila huku saivi napaogopa baeUnaenda wapi babe jamaani?
Mwisho utaniambia hata simu huna!sijib text no siijui wala sipokei simu no nisiyoijua


Kwanini jamaani love?Aaah, ni mengi ila huku saivi napaogopa bae
hahahaha hamna mm ndio nipo hivyoHhahaaaaa! Shunie nakuona kama vile unataka kutupa simu yaani..
Nakutania tuu shemela