Makapuku Forum

Makapuku Forum

4b85c12fcdb4b19f81147d246f68eb65.jpg
 
Jamaniiii mie Niwatakie tu usiku mwema wana familia!!!.

T mume wangu, ni muda wa kulala huu, malaika wa Bwana wakufunike mpenzi wangu.....

Nakumiss sana mie jamani!!!

What happen to you handsome!!! Ope you're doing great!!!

I love you my love, stay safe!!!
I love you honeeey!

Am ookey! Though kuna mwenzetu kapatwa na msiba thats why sijapata muda wa kupita huku

Ila nimo salama...! Nilikiwa huko kutoa pole..

Sasa ukiwa mahali penye majonzi afu uwe unachat na simu tuu..sio heshima..so i was off-line
 
Jamaniiii mie Niwatakie tu usiku mwema wana familia!!!.

T mume wangu, ni muda wa kulala huu, malaika wa Bwana wakufunike mpenzi wangu.....

Nakumiss sana mie jamani!!!

What happen to you handsome!!! Ope you're doing great!!!

I love you my love, stay safe!!!
I miss you so much mke wangu..

I know how much you care abt me..! Thats siwezi kulala bila kuja kukutakia usiku mwema mke wangu..

I love you sooooo much my love..

Lala nikufunike kipepeo wangu..

Loove so mwaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom