Makapuku Forum

Wewe sio msomali kabisa


Kinyiramba umekijua
Babangu ni habesh wa Ethiopia, maza mtz, nami ni mtz kwa kuzaliwa....nimeishi karibu mikoa yote tz kutokana na nature ya kazi yangu, ninasikia makabila zaidi ya 32, wskiongea natambua ni kabila gani.
Nimeishi mwanza, shinyanga, musoma, tabaora, dodoma, tanga,kilimanjaro , singids na sasa Arusha. Nimesomea Dar tangu nikiwa kachalii kadogo so dar nimeishi muda mrefu zaidi ya mahali popote tangu nizaliwe.
 
nikija tena nitakutafuta unipeleke huko
Nakumbuka kipindi flani nilikuwa nafanya field maeneo ya kisongo..

Nilikuwa natoroka kwenda kula nyama mkuu..! Hazi zingine nabeba kwenye mfuko wa rambo ! Hahaaa

Ila siku moja nikamzingua masai mmoja..wao wanasema NYAMA HAINA MWENYEWE.

Yaani ukikikuta unakula nyama na yeye anakaa kula nyama bila kukaribishwa maana nyama haina mwenyewe na yeye ukimkuta wewe toa kisu chako anza kula nyama..

Nikaona mtu anakaa then kachomoa sime kaanza kula nyama yangu...aisee nilimletee nouma


Watu wanakiambia dogo kuwa mpole haya ndo maisha ya huku..
 
 
aiseee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…