Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
ahhahahhahh niliambiwa na mahoho na makarotiNa nyanya tena
ahhahahhahh niliambiwa na mahoho na makarotiNa nyanya tena
Ndio jiji letunipo jiji la bashite lkn kwetu jua kali jana kuna rafiki yangu anaishi mbezi ameniambia mvua kubwa sana imenyesha aisee
mpk raha sisi tunaviskia tuMbagala huku
Na wewe mbona kama unakuwaga wa kolomijeya nan na nan
Shunie mamampk raha sisi tunaviskia tu
aisee sinywagi mm mavitu mengine kinywaji changu ni kimojaWine sio mbaya...
Mdogo wako shunie ndo anapiga mavitu yaa ajabu...savanah, safari! Pillsiner sijui Castle![]()
HakikaMungu wetu ni mwema kila wakati
Hahahaacha tu na ndizi pembeni kuna heinken naipenda Arusha hapo tu
shikamooShunie mama
sijakuelewa ataNa wewe mbona kama unakuwaga wa kolomije
Tanesco inamalizia ukarabati wa miundo mbinu yake iwe thabiti wajanja ndio walikuwa wanaiangusha.Ok,safi sana msisitize atuletee umeme jamani maana iko siku tutabaki giza hapa kwetu
Karibuni Arusha nitakuwa mwenyeji wenu na offer ya kwenda Arusha national park, utajitegemea malazi na chakula, trans na fees itakuwa juu yanguUkipata nafasi nijuze twende sote
nipo jiji la bashite lkn kwetu jua kali jana kuna rafiki yangu anaishi mbezi ameniambia mvua kubwa sana imenyesha aisee
Shunie wa Daaaaar
Ibada ilikuwa njema sana tunamshukuru Mungu
Asante kaka ubarikiweKaribuni Arusha nitakuwa mwenyeji wenu na offer ya kwenda Arusha national park, utajitegemea malazi na chakula, trans na fees itakuwa juu yangu
SafiSijambo shem wane habari ya wewe
Mama mchungaji location yako tafadhaliMi nimelala kabisa radi hatari kama chakula hakuna ndani mnashinda na kulala njaa kila mtu anaogopa kutoka,radi mvua kubwaaa upepooo
Hofu ondoa kabsaanikija tena nitakutafuta unipeleke huko
Kipi atiiaisee sinywagi mm mavitu mengine kinywaji changu ni kimoja
SawaUkipata nafasi nijuze twende sote
Ninaendelea kumshukuruPole sana! Na mshukuru Mungu kwa kupona
Ndio upo huko