Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
aisee jiji hili hili la bashiteMi nimelala kabisa radi hatari kama chakula hakuna ndani mnashinda na kulala njaa kila mtu anaogopa kutoka,radi mvua kubwaaa upepooo
aisee jiji hili hili la bashiteMi nimelala kabisa radi hatari kama chakula hakuna ndani mnashinda na kulala njaa kila mtu anaogopa kutoka,radi mvua kubwaaa upepooo
Nahisi kuna kitu maana nina mwaliko wa huko ila kila wiki tarehe nasogezaJitahidi uende matembezi tu ni pazuri
Usiache kufika Congo stSafi mkuu..
One day tutakuwa adidas ababa..!
Ibada ilikuwa njema sana tunamshukuru MunguAmen mtumishi, ibada imeendaje!
Shunie wa Daaaaar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utakua upo Karatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukipata nafasi nijuze twende soteMwenyewe nafikaga mara moja moja
nipo jiji la bashite lkn kwetu jua kali jana kuna rafiki yangu anaishi mbezi ameniambia mvua kubwa sana imenyesha aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utakua upo Karatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafurahi kusikia hujambo sasa Mungu akuimarisheKatibu ni lee
Mweka hazina hapa
Nilikuwa naumwa sio kwamba ninaumwa
Achana kwa morombo, uje nikupeleke tembo club, ulaya ndogo ndani ya jangwa la kisongoacha tu na ndizi pembeni kuna heinken naipenda Arusha hapo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi kuna kitu maana nina mwaliko wa huko ila kila wiki tarehe nasogeza
Afu unaenda kwa morombo ama Kisongo [emoji23][emoji23]acha tu na ndizi pembeni kuna heinken naipenda Arusha hapo tu
Usianze hiyo safari ya kuonja utakuwa mtaalamBaby noooo
Na nyanya tenaanaanzishaga habari za ndizi halaf anasepa akupe na nyanya [emoji23]
Mbagala hukuhuko wapi huko [emoji23][emoji23] mbona sisi kwetu jua kali
nikija tena nitakutafuta unipeleke hukoAchana kwa morombo, uje nikupeleke tembo club, ulaya ndogo ndani ya jangwa la kisongo
Mungu wetu ni mwema kila wakatiIbada ilikuwa njema sana tunamshukuru Mungu
Jitahidi uende,ukishindwa nipe mimi huo mwaliko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahisi kuna kitu maana nina mwaliko wa huko ila kila wiki tarehe nasogeza
Nyagei nakumissKuna radi huku zinaogofya vipi huko kwenu?
Kuna manyunyu tu huku na radi za kuogofyahuko wapi huko [emoji23][emoji23] mbona sisi kwetu jua kali
Wine sio mbaya...Baby noooo