KakaSakayo dadangu Nakupenda sana:
Naomba nikushauri kitu na unisikilize mimi kakako.
-nimeamini Trancsend akupenda
-mpe nafasi tena
-usiwe mjinga kuacha dhahabu kisa imedondokea matopeni, ifute ichukue thamani yake iko pale pale
-uwe jasiri kutetea na kulinda hisia zako na asikutibulie mtu.
Sahau yalopita chukua kitu chako songa mbele
Karibu bibie kapuku.Asante
na hayo maandishi yakoKwanini¿¿
Surenakuelewa sana kuna kauli uliongea kuhusu Transcend ata ww ilishakutokea ujue T akili si yake maskin
Hahaha mwenywe w r chuga basi nww hujui kitu wnakushobokea bure wakat joka la kibisaSijui aisee!
Basi tuu wako hivyoo
Asante kaka mkubwaSakayo dadangu Nakupenda sana:
Naomba nikushauri kitu na unisikilize mimi kakako.
-nimeamini Trancsend akupenda
-mpe nafasi tena
-usiwe mjinga kuacha dhahabu kisa imedondokea matopeni, ifute ichukue thamani yake iko pale pale
-uwe jasiri kutetea na kulinda hisia zako na asikutibulie mtu.
Sahau yalopita chukua kitu chako songa mbele
hahahhaah pole sana shemelaHahaaaaa!
Yaaani achana na kupenda .!
Hizo convo zimekusanywa pages back to back...tena natumia simu
Sakayo nampenda sana!
Rudi sakayo please..!
Uko poa lakiniiAsante
Clkey..Nitake rdhi aisee kam huna kingine piga kimya, nngekuwa kama mwanamme huyo dadaako angekuwa mchepuko ama basi umejisikia kuongea tu
Mwenyewe najua maneno ya shombo
sina ata nilichoelewa tulia uandike vizuriToka umeanza jibebisha umepat nn labda kwa mfano?
Helo helo hhah usingemdanganya shem yako kma umeachana na shemela wngu hahahaha ili uwe nae
Jimbo wazi ukimaanisha nn mkuu?Karibu bibie kapuku.
Huku ni full maupendo hope utapanda.
Comment chochote unachojisikia ila usivunje sheria za jf.
Upendo ndio motto wetu.
Hope wewe ni jimbo wazi.
Hayo ya jimbo tutadiskasi baadae.
Niko normal mbona Kakangu!!! UsijaliSakayo una haribu movie bhana, badilika kipenzi
DadaMmmmh, I know you love him much
AsanteWala usijali shem.
Tuko pamoja.
Sidhani kama Aspirin atakubali kuporwa mkewe kizembe.fakalava huyo..
Clkey kamjibu fakalava
Fakalava anamjibu clkey
Clkey anamjibu fakalava
Convo zinaendelea
Hapa Clkey anakuja kuniharibia conversation yangu na Sakayo.
Sasa Sakayo Naamini umeona haka kamchezo kanavyofanya mama..
Clkey anakuchezea akili mama, Clkey yupo na Fakalava..nimekusanya hii convo nikuoneshe ukweli wa mambo..
Please Sakayo wangu! Please Utamu wangu! Please roho yangu...
Rudi mke wa maisha yangu...!
Hupendi bolded fontsna hayo maandishi yako
Mmh tunapoenda huko naona watu wapo serious aiseeHahaha mwenywe w r chuga basi nww hujui kitu wnakushobokea bure wakat joka la kibisa